Kwanini watu wenye kipato cha chini wanaongoza kuzaa watoto wengi?

Kwanini watu wenye kipato cha chini wanaongoza kuzaa watoto wengi?

Ndugu zangu wakisikia nina watoto wawili na mmoja wa kulea wananicheka! Siku moja nikawatolea uvivu tukafanya mahesabu ya social return on investment, wakakuta SROI Ratio ya watoto wangu iko juu sana kuliko wa kwao! Kwa hiyo sasa wanatuzalia ili tuwasaidie kulea! Ukikataa tu utasikia, ooooh huyo anaendeshwa na mke wake! Ubinadamu kazi!
 
Ndugu zangu wakisikia nina watoto wawili na mmoja wa kule wananicheka! Siku moja nikawatolea uvivu tukafanya mahesabu ya social return on investment, wakakuta SROI ratio ya watoto wangu iko juu sana kuliko wa kwao! Kwa hiyo sasa wanatuzalia ili tuwasaidie kulea! Ukikataa tu utasikia, ooooh huyo anaendeshwa na mke wake! Ubinadamu kazi!
 

Attachments

  • IMG_20241229_081846.jpg
    IMG_20241229_081846.jpg
    402.2 KB · Views: 2
Back
Top Bottom