Kwanini watu wenye kipato cha chini wanaongoza kuzaa watoto wengi?

Kwanini watu wenye kipato cha chini wanaongoza kuzaa watoto wengi?

Yaani ukose hela ukose na watoto basi utakuwa kichaa.
Hahaha.....wanatomb* san hao! Yaani sisi Maskini Ingekuwa Usingizi ni kwa ajilo ya wenyenhela tu aisee Matajiri wangetunyoosha.

Uzuri ni kwamba Zile raha za asili tunazipata sote bila kujali mwenye hela. Mfano
1. Tendo la ndoa
2.Usingizi
3. Kucheka
4. Kwenda Haja
 
Boro la maskini linadinda muda wote.

Boro la kicheche yani muda wote ngaa ngaa ngaaa... Boro mninga, boro mdiso, boro lisilo na maokoto, Boro la muda wote.

Cc: Extrovert Poor Brain secretarybird
Hana mawazo sijui Biashara mauzo yameshuka, au Mawazo sijui Ghorofa langu sijamaliza kujenga. Mawazo sijui Benz Langu limekwama Bandarini.

Kiufupi Maskini anaishi maisha mazuri kuliko Tajiri.
Wakati Tajiri anawaza watoto watatu Ada ya Feza schools maskini yeye watoto Saba anamwaga Bure shule za Shujaa Magufuli na Daftari Mbili mbili za kuanzia na karamu zilizobaki mwaka jana moja moja
 
Kwa utafiti wangu ndogo nimeona hii kitu ya kuzaa watoto wengi na umaskini(kipato kidogo) sijui ina uhusiano gani na kipato.

Naombeni msaada kwa anaye jua
Starehe ya maskini ni kubanduana. Its the cheapest form of enjoyment. Huitaji kuwa na billion 3 kupata papuchi ya kuibandua ukafurahia nafsi yako meanwhile matokeo ya mibanduko ni msururu wa wanakondoo😁😁😁 huku mkifarijiana kila mtoto na sahani yake.
 
Wenye kipato cha chini akili zao huwa zime'relax' na mambo ya uchumi hayawachukulii muda.Huo ndiyo mtaji wa kugegedana ukilinganisha na tajiri ambaye pesa kwake ndiyo furaha yake.Mambo ya kugegeda yawezakuwa si kipaumbele.Pia wazo la majukumu ya uzazi linamtia hofu ilihali masikini anaamini kuwa kila mtoto ana fungu lake.
 
Masikini hana starehe zaidi ya ngono,hana hela za kusafiri au kutoka out kwenda matembezini,

Muda mwingi anakua yupo home anaichakata tu,masikini hayupo busy sana kama matajiri.
Yeah ndio ukweli wenyewe. Unahitaji kuwa na nyege tu kufanikisha kitombo ila huwezi kwenda Dubai kwa kutumia nyege😁 au mbuga za wanyama na kutalii duniani bila mpunga.
 
Back
Top Bottom