Kwanini watu wenye kipato cha chini wanaongoza kuzaa watoto wengi?

kwa research yangu ndogo nimeona hii kitu ya kuzaa watoto wengina umaskini(kipatokidogo)sijui inahusiano gani na kipato naombeni msaada kwa anaye jua
Research Yako iliwatambuaje maskini, vigezo?
 
Ndugu zangu wakisikia nina watoto wawili na mmoja wa kulea wananicheka! Siku moja nikawatolea uvivu tukafanya mahesabu ya social return on investment, wakakuta SROI Ratio ya watoto wangu iko juu sana kuliko wa kwao! Kwa hiyo sasa wanatuzalia ili tuwasaidie kulea! Ukikataa tu utasikia, ooooh huyo anaendeshwa na mke wake! Ubinadamu kazi!
 
 

Attachments

  • IMG_20241229_081846.jpg
    402.2 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…