Kwanini watu wenye, maambukizi ya VVU huwa hivi?

Dr Fadhili Paulo nimeisoma taarifa yako yote lakini unadai kwamba Virusi hawasababishi UKIMWI lakini, lakini katika tiba yako kuna hichi kitu kuhusiana na nazi umeongelea tena mambo ya virusi sema nimeshindwa ku quote sababu sijui umefanyaje inakuwa ni vigumu ku copy ila ningeweza kuweka hapa, kuhusiana na hayo maelezo umeniacha kabisa...
 
Last edited by a moderator:
pia wengine hupata madhara kwenye ubongo (encephalopathy) hivyo huwa wepesi wa hasira.
 
Hilo tu mkuu? umetizama video zote 2?, nita-edit pia hapo uliponiambia, ahsante.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…