Fadhili Paulo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2011
- 3,211
- 993
vipi kama uki like kwenye sim ukiingia kwenye computer inatakiwa u like tena?
Utakapoingia kwenye PC log in kwanza kwenye Facebook na utumie browser hiyo hiyo ili kuepuka kudaiwa like ya pili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vipi kama uki like kwenye sim ukiingia kwenye computer inatakiwa u like tena?
Dr Fadhili Paulo nimeisoma taarifa yako yote lakini unadai kwamba Virusi hawasababishi UKIMWI lakini, lakini katika tiba yako kuna hichi kitu kuhusiana na nazi umeongelea tena mambo ya virusi sema nimeshindwa ku quote sababu sijui umefanyaje inakuwa ni vigumu ku copy ila ningeweza kuweka hapa, kuhusiana na hayo maelezo umeniacha kabisa...