Kwanini watu wenye viherehere, wanaojiongeza nje ya majukumu yao na wanaongea kwa ujasiri hata kama ni uongo ni rahisi kufanikiwa?

umeandika points.
Ila ukiwa na akili au uwezo mkubwa lakini hunauwezo wa kuudemonstrate kwa watu wenye maamuzi, mwenye kujiongeza ambaye anajua nusu ya unachokijua lazima awe juu yako.
 
Kuna mda anakera mpaka anaanza kufurahisha.
Ila somo kubwa nililojifunza kwa huyu jamaa ni kuamini katika kila unalolifanya hata kama halina mantiki kwa watu wengine 😅
mtu anayejiamini asilimia mia hata kama yuko chaka hata mbinguni rahisi kwenda kuliko watu vuguvugu na fuata upepo.
Watu hawa ni vigumu sana kutoboa.
 
Kuna mda anakera mpaka anaanza kufurahisha.
Ila somo kubwa nililojifunza kwa huyu jamaa ni kuamini katika kila unalolifanya hata kama halina mantiki kwa watu wengine 😅
Hyo ya kukera had anaanza kufrahisha kweli kabisa, nishaexperience kwake 😆
Kuna kipindi sjui alifanya nini watu kibao wakamkataa nikajua atajiuzulu huyu anytime soon hahahaa jamaa likaendelea kukomaa had leo watu wanamchkulia tu poa.
Sema kwenye kujiamin namkubali sana, big up kwake
 
that's it, kwenye maisha muda mwingine si lazima ufanye vitu ili watu wafurahi, you have to stay on your lane, wakati mwingine hatufanikiwi kutokana na kuangalia sana watu wanafikiri nini kuhusu sisi.
 
umeandika points.
Ila ukiwa na akili au uwezo mkubwa lakini hunauwezo wa kuudemonstrate kwa watu wenye maamuzi, mwenye kujiongeza ambaye anajua nusu ya unachokijua lazima awe juu yako.

Kinachotakiwa ni kazi/body of work...kazi yako ndio itakuuza

Easy come easy go in a long run mzee!

Overselling ni counter productive kwa long run mkuu!

Watakustukia tu na fakeries zake!

Over-self promotion nowadays inajulikana,watu watauliza “is this nigga worth the hype?”

Watakupa nafasi ila not long enough watajua where you are gauging at!

Viherehere wanafaulu sawa na quiet niggas,if you ask me!
 
Hata katika kipindi hiki cha Corona (COVID-19) zinafaa kutumika!
 
Utapeli ndio unaouongelea hapa. Sadaka inakusanywa kwenye mabasi? Pengine wanafanikiwa kutokana na uelewa mdogo wa umma wa WaTz.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utapeli ndio unaouongelea hapa. Sadaka inakusanywa kwenye mabasi? Pengine wanafanikiwa kutokana na uelewa mdogo wa umma wa WaTz.

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu yeye anadai anatakiwa kulishwa na wanaomsikiliza ili aje siku nyingine wamsikilize tena na anavifungu vya kujilinda.

Yote kwa Yote. Kama wote ni matapeli ila utapeli wa kujiweka soapsoap unakuwa successful kuliko huo wa mtu kuomba sadaka wakati anapoor communication skills, mchafumchafu, havuti usikivu wa wasikilizaji.

ndo maana wote wanaomba sadaka ila mmoja anapata jero mwingine twenti kwa hadhira ileile
 
Mfano mzuri ni DAB, anaongea upupu hadi unashindwa kumshangaa, sometimes akiongea uliyekaa kando ya TV unaona aibu but look where he is now, RC wa jimbo kubwa kuliko yote Yunani[emoji39]
Viongozi wetu kukosa hekima na busara za kuongoza ni jambo la hatari sana.
 
MKUU UMEANDIKA MAMBO YA MSINGI AMBAYO NI PRACTICAL KWENYE CIVILIZED COUNTRIES, ORGANIZATIONS AND INSTITUTIONS.
ILA KWETU NA TAASISI NYINGI BADO ZINATOA MWANYA WA KUARCHIEVE KWA KUTUMIA UJANJAUJANJA HUU.

ILA MTU AKIFUATA UNACHOSEMA ATATUSUA ILA INABIDI AWE MVUMILIVU.
SUCCESS IS MEASURED BY RESULTS (NUMBERS) AND NOT STORIES.
 
Kuna kajamaa kadalali kanachomekea saaana alafu kana kiherehere mpaka mwisho.
Yani kanaingia ofisini za watu utadhani kanafanya kazi humo.
Alafu akikusalimia hata kama akujui lazma akuulize"za siku,familia,wote wazima huko"
Alishawai kunuomba mkurugenzi flani wa jiji akale nae lanchi siku moja na kweli akaalikwa lanch.yani mambo yoote ya serikali kenyewe kanajua bwana.alafu kako fasta sana.kana macho miamia yani pande zote kanatazama apitwi na kitu huyo master

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…