Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Kwa nini ukienda popote duniani penye ubaguzi wa rangi utakuta wanaoongoza kubaguliwa zaidi ni watu weusi?
Iwe blacks huko America au Ulaya, Wahindi weusi India au Waarabu weusi uarabuni Hali ya ubaguzi bado ni hiyo hiyo tu.
Yani hata hapa Africa baada ya kupata uhuru kuna namna Wazungu, waarabu na jamii nyingine zinathaminwa kwa hali ya juu zaidi kuliko watu weusi hata katika huduma za kawaida tu!
Au labda hatubaguliwi zaidi bali sisi ni walalamikaji zaid?!