Mambo machache niliyogundua baada ya kutembelea nchi za Far East,
1.Waafrika wengi tupo na idea ya kubaguliwa hata kabla hatujakutana na ubaguzi wenyewe
2.expectations ni kubwa juu ya kupata different treatment tofauti na natives, kwamba wengi tunaexpect kupata different treatment either in a good or bad way.
3.Baadhi ya watu (natives wengi) hawapo comfortable ku interact na wageni (ikiwemo waafrika) kutokana na sababu binafsi ,caltural differences , language barrier nk
4.Baadhi za watu tayari wana idea ya hasi ya Africa na waafrika kutokana na namna walivyokuzwa ,kuaminishwa na kufundishwa mashuleni .
Mfano wazee wengi wanaamini Rangi yetu imetokana na Joto kali Africa na wanaamini Africa in Joto mwaka mzima
5.Baadhi ya sehem social interaction ni ndogo kwa sababu ya kulinda personal space, natives huepuka muingiliano na Foreigners ( na hata natives wenzao) kuepuka kuingilia " Personal space" .
6. Watu wengi hawajahi ona muafrika, so kuna sehemu ukienda lazima stares zitakuwepo tu. Ni kama bongo mzungu atue kijijini popote atapoenda patamkumbusha tu kuwa yeye ni tofauti na wengine.
7.Mwisho watu wa aina zote wapo sehemu zote.Kama ilivyo bongo unachagua watu wa kuwa nao karibu na wakuwa nao mbali,na ughaibuni pia ni hivo hivo. Some will choose you some will not kikubwa the real ones will stay.