Kwanini watumiaji wengi wa kinywaji cha Energy ni madereva wa vyombo vya moto?

Inahitaji nguvu nyingi kuendesha chombo, kukigeuzageuza muda wote. Kutia gia, kuzungusha usukani... Lazma uwe na nguvu za ziada... Hence eneji drink na mihogo kama ukipata
 
Kutoka Dar kwenda Mwanza abiria unasinzia na kulala mara ngapi njiani? Jiweke kwenye nafasi ya dereva.

Energy drink inakata usingizi na inapunguza sana uchovu ndio sababu kitaalamu wanashauri usinywe zaidi ya kopo mbili kwa siku.

Kuli wanatumia sana energy na wamwaga zege. Tuliozeeka tunatumia mara moja moja hasa tunapojiandaa kwa kupiga ukuni ili walau kidudu kisilale harakaharaka
 
Unazeeka vibaya ujue 😹😹😹😹😹 kidudu kisiwhaaat!!!?!!🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom