Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 2,317
- 7,808
Ukiona hivyo tambua ni tatizo lq viongoziTaasisi nyingi za umma ukienda kutafuta huduma ni kama vile umeenda kuwaomba hela, uwezi kwenda ukiwa na muda wako lazima uteseke tu na usikamilishe, watanzania nyie ni watu wa hovyo kweli, ukienda ofisi yoyote ya serikali ukitoka huko satisfied na tatizo lako umelitatua kwa wakatii, na hawajatumia masaa mawili kwenda cafeteria kula breakfast na masaa 3 kula lunch basi hongera, ukikutana na mfanyakazi wa kike anaevaa miwani kama hajashusha miwani na kukuangalia huku anakuthaminisha basi hongera kwako.
Unawashtaki kwa nani sasa? Mtu ameenda canteen kuanzia saa 2 mpaka saa 4Dawa yao ni kuwashitaki tu,
Wewe simama kwa afisa yeyote hapo , mwambie unataka kuishtaki taasisi, watakupa muongozo na watastuka kwamba upo serious sana.Unawashtaki kwa nani sasa? Mtu ameenda canteen kuanzia saa 2 mpaka saa 4
ok.Taasisi nyingi za umma ukienda kutafuta huduma ni kama vile umeenda kuwaomba hela, uwezi kwenda ukiwa na muda wako lazima uteseke tu na usikamilishe, watanzania nyie ni watu wa hovyo kweli, ukienda ofisi yoyote ya serikali ukitoka huko satisfied na tatizo lako umelitatua kwa wakatii, na hawajatumia masaa mawili kwenda cafeteria kula breakfast na masaa 3 kula lunch basi hongera, ukikutana na mfanyakazi wa kike anaevaa miwani kama hajashusha miwani na kukuangalia huku anakuthaminisha basi hongera kwako.
Kwa nani?Dawa yao ni kuwashitaki tu,
Unaanza hapo hapo ofisi uliyoenda.Kwa nani?
NAFIKIRI WANAFANYA KAZI KWA MAZOEA KWA SABABU YA MKATABA WA KUDUMU/MAISHA.Taasisi nyingi za umma ukienda kutafuta huduma ni kama vile umeenda kuwaomba hela, uwezi kwenda ukiwa na muda wako lazima uteseke tu na usikamilishe, watanzania nyie ni watu wa hovyo kweli, ukienda ofisi yoyote ya serikali ukitoka huko satisfied na tatizo lako umelitatua kwa wakatii, na hawajatumia masaa mawili kwenda cafeteria kula breakfast na masaa 3 kula lunch basi hongera, ukikutana na mfanyakazi wa kike anaevaa miwani kama hajashusha miwani na kukuangalia huku anakuthaminisha basi hongera kwako.
Yani hao dawa yao ni kuharibiana siku tu! Huwa na shida gani sijui!Unaanza hapo hapo ofisi uliyoenda.
Unawauliza sehemu ya kushtaki ni wapi, mnaanzia hapo, kikuvwa tu wewe uwe upande sahihi iki hata kama kunakupoteza muda uwe kuna kitu kweli unakipambania
unaufahamu ule msemo wa masikini akipata hulia mbwata?.....basi usiombe kumkuta mwanamke ndie mkubwa wa kitengo utajuta kumfahamu...Taasisi nyingi za umma ukienda kutafuta huduma ni kama vile umeenda kuwaomba hela, uwezi kwenda ukiwa na muda wako lazima uteseke tu na usikamilishe, watanzania nyie ni watu wa hovyo kweli, ukienda ofisi yoyote ya serikali ukitoka huko satisfied na tatizo lako umelitatua kwa wakatii, na hawajatumia masaa mawili kwenda cafeteria kula breakfast na masaa 3 kula lunch basi hongera, ukikutana na mfanyakazi wa kike anaevaa miwani kama hajashusha miwani na kukuangalia huku anakuthaminisha basi hongera kwako.
Wanachukulia mambo poa sana, yani ukifata huduma ni kama umeenda kuwasumbua.Yani hao dawa yao ni kuharibiana siku tu! Huwa na shida gani sijui!
Wanakera sana na sisi tusio wavumilivu ndio kabisaa!!ππΎWanachukulia mambo poa sana, yani ukifata huduma ni kama umeenda kuwasumbua.
Mimi kwasasahiv hizi ofisi za umma haziniumizi kichwa sana, labda niwe na makosa ndo nakua mpole
mdogomdogo unaanza taratibu πWanakera sana na sisi tusio wavumilivu ndio kabisaa!!ππΎ
Si bora huyo saa 4 kuna wasiorudi kabisaUnawashtaki kwa nani sasa? Mtu ameenda canteen kuanzia saa 2 mpaka saa 4
Kuvumilia? Huwa siwezi hata hizo ofisi siendi..mdogomdogo unaanza taratibu π