Umewaza kama mimi mkuu. Hasa pale aliposema hata kurusha ngumi huyo jamaa ilikuwa shida niliwaza mengi sana.Punguza porojo, wanaomiliki silaha hata siku moja hawana swaga hizi, kwanza fire army ni kwa ajili ya self defense.
Sijaona tofauti yako na hao unaowalalamikia, unatafuta sifa za kijinga tu.
Inasikitisha wapumbavu wengi waliomilikishwa silaha hazijawahi kuwasaidia dhidi ya majambazi zaidi ya kujiuwa wenyewe au kuwauwa wapenzi wao.
Stupidity.
[emoji23][emoji23][emoji23] si wameclear madeni. We kuwa mwanaume nawe bwana. Mwanaume wa kweli ana madeni. Kwani wameiba? Mbona ndo kawaidaNiko nao hapa mshahara wamemaliza tayari, vijana wanatia aibu..
Huyu jamaa kuna mengi hayajui hapa duniani.Huna uwelewa wowote kwa haya unayoyaandika zaidi ya moyo wako kujaa chuki baada ya Afisa mmoja kukugongea kidemu chako hizi zingine ni porojo tu, huna ulijuwalo kwa sababu hata wao hawajuwani kama hampo dawati moja au kitengo kimoja.
Taasisi zote za serikali unazozijuwa wewe wapo maafisa usalama na mishahara yao wanapokea kwenye taasisi hizo.
Wapo TRA, BOT ndio usiseme, wapo kwenye mifuko ya serikali wapo everywhere mpaka kina Cardinali Pengo na sheikh mkuu wa Dar ni sehemu ya system.
Usidhani JF ni kijiwe cha wavulana kuja kuropoka ujinga ujinga wako.
Naungana na wewe huyu jamaa hakuna anachokijua katika mambo ya usalama na majeshi kwa ujumla.Yaana mefanya as if wanapokea flat rate. Hajui hadi kuna mashoe shiner wana life kubwa tu[emoji23] halaf alitaka mtu anaanz akazi tu alipwe milion 10 ama? Hajui kuna levels? Huyu wamemlia mkewe. Na akicheza watamuhamisha mazima
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Hawa jamaa wanavyopatikana sasa hivi ni kwa njia za panya. Halafu tamaa ndiyo inaponza vijana wengi wa Bongo. Hawa hata walipwe fedha ndefu namna gani sidhani kama wanaweza kuhimili kama nchi ya kigeni ikiwamwagia fedha. BTW mke wako ndiye alitakiwa a-react. Kama alikuja kwenye meza pale ilibidi awe mkali na kumfokea kwa sauti kila mtu asikie ili aone aibu. Hali kama hii huwa inatokea kwa wengi lakini nadhani ili kuuumbua wajinga kama huyo jamaa ni vizuri mwanamke awe wa kwanza kumfukuza kama mbwa. Hii itasaidia kwani mwanaume ukishakasirika unaweza kufanya kitu kibaya sana.Jana Ulirudi Usiku
Huyu alinikuta niko na mke wangu tumekaa mahali akaleta zile za kukonyeza nikamtuma mtu ampe onyo, nilivyoenda enda washroom nikakuta amekuja kwenye meza yangu kumtongoza mke wangu nilimzaba kofi moja zito sana akarise pale ilikuwa nimmalize siku ile sema tu watu waliingilia pale nikaamua kuondoka kwa amani.
Nakunywa nao baadae naenda na mmoja nao ๐ ๐ ๐[emoji23][emoji23][emoji23] si wameclear madeni. We kuwa mwanaume nawe bwana. Mwanaume wa kweli ana madeni. Kwani wameiba? Mbona ndo kawaida
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Wewe nawe ni fyongo tu. Unaishi nchi gani unataka kuja kudanganya hapa. Unadhani hatuwajui? Au na wewe uko huko na umekuja hapa kutetea ujinga wenu.Nimecheka hapo aliposema hata million moja haifiki[emoji23][emoji23][emoji23] halaf kutongozewa mke huo ndo urijali. Huwa hawa vijana wenyewe kabisa hata siku moja kutamka ni ngumu mno kwamba wako idara fulani. Hata siku moja hutawasikia. Huyu anajifurahisha tu na kuvimba bure. Amekutanana MATAGA huko anajimwambafai. Kwanza vijana wana nidham mnoo mno mno. Kaunda suti yeyore anavaa. Eti mke ndo utoe bastola? Yaan waliokupa wakasikia tu wanachukua kifaa chao jinsi ulivyo limbukeni...
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Ondoa upumbavu wako. Njaa inawasumbua ninyi wajinga. Huna lolote na ndiyo maana unajifanya kutumia ID ya kike kumbe wewe ni dume linaloishi kwa kulamba vidonda kama inzi. Shut up!Nyoo. Ona ulivyo na ushamba. Sisi tunahonga kijana. Ukicheza na mimi na wewe nitakuhonga vilevile nikuoe. Mshamba wa mwisho
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
So what?Huyu Diwani Athumani ni Tiss kitambo tu, nchi ilivyokabidhiwa kwa washamba akapigwa demotion ya kuwa RAS huko katavi, kumbe yule mzee wa chuki hakujuwa kwamba huyu jamaa ni kazi maalum ndipo akaumwa sikio hapo umechemka huyo ni kitengo, Finally Diwani amerudi nyumbani ndio DG wa TISS sasa.
Ujinga unao wewe. Hujaelewa alichoandika. Unadandia tu.Unaona sasa ulivyo mjinga? Uniform za Maafisa usalama ni zipi?
Kwenda zako wewe. Unaona unapokujaga na vi-story vyako vya alinacha hapa wajinga wenzako wanakusifia na unadhani wetu tuko level yako? Alichaandika mwanzisha thread kiko wazi na ni ukweli. Hlafu wewe unaleta upumbavu wa kubisha mambo ya wazi.Vipi bwashee? Hebu kunywa maji kwanza masna unaweweseks hatari na sukari imeshuka umejaa jazba wakati ni fala fulani tu.
Uandishi wa Instagram huu, huku umepotea njia.Kwenda zako wewe. Unaona unapokujaga na vi-story vyako vya alinacha hapa wajinga wenzako wanakusifia na unadhani wetu tuko level yako? Alichaandika mwanzisha thread kiko wazi na ni ukweli. Hlafu wewe unaleta upumbavu wa kubisha mambo ya wazi.
Broo hao wengi washamba sana hawajiamini na hawana maadili kabisa. Kuna demu mmoja nikimnasa kiulani akajitambulisha na mpka kwao akanipeleka yaani kirahisirahisi ila njaa nyingiNimekaa nikajiuliza sana kwanini watumishi wengi wa idara nyeti (wengi mtakuwa mmenisoma na maanisha nini), watu hawa ukiangalia kazi wanayofanya na maisha yao mtaani ni vitu viwili tofouti kabisa maana vijana hawa wamejawa na tamaa hadi kufikia kutapeli watu hovyo mtaani kwa kigezo cha kufanya kazi katika taasisi nyeti hiyo na bila aibu wamekuwa wakionesha vitambulisho vyao hovyo kwenye kumbi za starehe pindi wakilewa.
Swali langu kwa viongozi wa taasisi hii nyeti, Kama mtumishi wa idara hii anaweza kuwatapeli watanzania wenzake, je akikutana na watu wa nchi nyingine ambapo ilitokea akalambishwa dollar je mna uhakika gani mtu huyuhuyu ambaye anaweza kujianika mbele ya wahudumu wa baa kuwa hawezi kuuza siri za nchi kwa thamani ya vipande vya fedha?
Au taasisi hii nyeti inaruhusu watumishi wake kufanya dhuluma kwa watanzania kwa kigezo cha kufanya kazi huko?
Ombi, langu kwa taaisisi hii nyeti wajitahidi kuwaboreshea maisha watumishi wao kuepuka aibu ndogo ndogo kama hizi maana vijana hawa hawa hawakawii kuuza siri za taifa hili kwa maadui kwa kigezo cha maslahi.
Hahahahahaaaaaaa wameshuka toka mbinguniii๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐Alafu wanakuaga na sifa zakijinga hasa wakituona sisi wateja wapya kwanza wanataka sisi tuwajue wao ni kina nani wakiona mteja mpya umejaza meza wanaanza kukodoa macho wanakuja kuuliza nyie ni kinanani ***** sisi tumeshuka toka mbinguni
Sio harufu TU, Mimi naona Hadi picha kabisaaaaaa, walikuwa wapenzi Hawa jamaa.Kuna harufu ya mapenzi hapa[emoji1][emoji1]
Ungekuwa upo condem mida hii[emoji3]Kuna mmoja ilikuwa manusura nimpige risasi ya kichwa ni huruma tu iliniingia, ni washenzi sana hawa vijana wa diwani. Huwa najiuliza hii mishahara wanayoipata haiwatoshi ama ni tamaa zao wenyewe?
To me there is no difference between MATAGA and UVCCM........Objection mkuu
Iambie JF kwamba hakuna utofauti kati ya MATAGA na UVCCM.
THERE IS A THIN LINE BETWEEN MATAGA AND UVCCM
KWELI SI KWELI?
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Avatar inanishawishi nikuamini japo kwa taabu sana!Kwa suala la utapeli sikupingi, nina uhakika nalo 100%
Hao hata uwalipe mamilioni kila mwezi hawatalidhika hata kidogo,Nimekaa nikajiuliza sana kwanini watumishi wengi wa idara nyeti (wengi mtakuwa mmenisoma na maanisha nini), watu hawa ukiangalia kazi wanayofanya na maisha yao mtaani ni vitu viwili tofouti kabisa maana vijana hawa wamejawa na tamaa hadi kufikia kutapeli watu hovyo mtaani kwa kigezo cha kufanya kazi katika taasisi nyeti hiyo na bila aibu wamekuwa wakionesha vitambulisho vyao hovyo kwenye kumbi za starehe pindi wakilewa.
Swali langu kwa viongozi wa taasisi hii nyeti, Kama mtumishi wa idara hii anaweza kuwatapeli watanzania wenzake, je akikutana na watu wa nchi nyingine ambapo ilitokea akalambishwa dollar je mna uhakika gani mtu huyuhuyu ambaye anaweza kujianika mbele ya wahudumu wa baa kuwa hawezi kuuza siri za nchi kwa thamani ya vipande vya fedha?
Au taasisi hii nyeti inaruhusu watumishi wake kufanya dhuluma kwa watanzania kwa kigezo cha kufanya kazi huko?
Ombi, langu kwa taaisisi hii nyeti wajitahidi kuwaboreshea maisha watumishi wao kuepuka aibu ndogo ndogo kama hizi maana vijana hawa hawa hawakawii kuuza siri za taifa hili kwa maadui kwa kigezo cha maslahi.