Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Mkuu wangu kwani CHANGAMOTO ya maadui wakuu 3 imeshaondoka?!!!Hivi kwa nini huwa mnadhani umaskini ni sifa?
Hii lugha ya kijinga "wanyonge na maskini" alikuwa akiipenda sana yule mwehu kuitumia.
Kama ccm ni chama cha wanyonge na maskini basi hamuwezi kuondowa umaskini kwa sababu ndio sera yenu na mtaji wenu.
Maana huwa sielewi hata ukimsikiliza yule chizi yeye alikuwa akijininasibu kwamba yuko kwa ajili ya wanyonge na maskini.Mkuu wangu kwani CHANGAMOTO ya maadui wakuu 3 imeshaondoka?!!!
Sina maana UMASKINI ni sifa mkuu....ila Taifa chini ya CCM limepiga hatua nyingi mbele.....
Dah[emoji24][emoji24] jamani. How can people be this cruel... wanajisikiaje? Wanajionaje? Hii laana jamani itakuaje? Ugumu wa maisha umeleta shida sana. Maisha ni magumu jamani mpl roho inauma. Juzi tunaenda hospitali tukakutana na jamaa amecholaaa, amebeba mito yake anatembeza amekaa kwenye kiti amelala fofofo machozi yasianze nitoka[emoji23][emoji23] mama ananiuliza shida nn nikamwambia maisha magumu sana. Sikua na hela.mfukoni haki ya Mungu ningempa. Niliumiaaaa. Ndo maana sipendi enda mitaani... hivi hozi kodi zinaenda wapi jamani[emoji24] roho inaumaaa. Ndo maana mambo ya kishenz yanazidiHakika....
"Mikeka" ni chumo kwao....
Huku uswazi wako na wale waokotao chupa....vyuma chakavu....saidia ufundi....wapagazi wa mizigo ya hapa na pale....yaani kweli MUNGU HATUBADILISHII HALI ZA MAISHA YETU HADI PALE TUNAPOTAKA KUBADILIKA.....
Kuna siku nilimuokoa mmoja kutopakwa "mafuta".....
Ilikuwa usiku wa manane ninatoka mishemishe zangu mjini nikapitia chochoro huku nje ya mji....lahaula nawakuta wamba wanajiandaa KUMUWAMBA mwenzao aliye hoi kwa bwax....uzuri wake mmoja ananifahamu...."ukitaa na undewa wangu" ukamsaidia jamaa kutoingizwa katika "nakama" daah it's horrible.....
Tajiri Kwanini uliachana na mradi husika? Ama 10% ilikuwa inaondoka na faida?Sitaji vema lakini mmoja alinipasia mradi Kwa ahadi ya 10% akaniingiza Kwa Waziri. husika lakini nikautema mradi . Cha kushangaza ni watu halisi wa utumishi nyeti,
Ndo dunia mkuu wangu....Dah[emoji24][emoji24] jamani. How can people be this cruel... wanajisikiaje? Wanajionaje? Hii laana jamani itakuaje? Ugumu wa maisha umeleta shida sana. Maisha ni magumu jamani mpl roho inauma. Juzi tunaenda hospitali tukakutana na jamaa amecholaaa, amebeba mito yake anatembeza amekaa kwenye kiti amelala fofofo machozi yasianze nitoka[emoji23][emoji23] mama ananiuliza shida nn nikamwambia maisha magumu sana. Sikua na hela.mfukoni haki ya Mungu ningempa. Niliumiaaaa. Ndo maana sipendi enda mitaani... hivi hozi kodi zinaenda wapi jamani[emoji24] roho inaumaaa. Ndo maana mambo ya kishenz yanazidi
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
HahahaWakiboreshewa maslahi ndo wataacha kitongoza mke wako? Kwa hiyo wanamtongoza mke wako kwa sababu ya maslahi yao duni? Mke wako ni barmaid pia? Manake umesema wanapenda kuongea na kudisclose siri kwa mabamaids.
Majungu tu yasiyo na chembe ya ukweli, kwa hiyo watumishi hao wote walikuja kwako? Wewe Nani just a mere ordinary person....!Nimekaa nikajiuliza sana kwanini watumishi wengi wa idara nyeti (wengi mtakuwa mmenisoma na maanisha nini), watu hawa ukiangalia kazi wanayofanya na maisha yao mtaani ni vitu viwili tofouti kabisa maana vijana hawa wamejawa na tamaa hadi kufikia kutapeli watu hovyo mtaani kwa kigezo cha kufanya kazi katika taasisi nyeti hiyo na bila aibu wamekuwa wakionesha vitambulisho vyao hovyo kwenye kumbi za starehe pindi wakilewa.
Swali langu kwa viongozi wa taasisi hii nyeti, Kama mtumishi wa idara hii anaweza kuwatapeli watanzania wenzake, je akikutana na watu wa nchi nyingine ambapo ilitokea akalambishwa dollar je mna uhakika gani mtu huyuhuyu ambaye anaweza kujianika mbele ya wahudumu wa baa kuwa hawezi kuuza siri za nchi kwa thamani ya vipande vya fedha?
Au taasisi hii nyeti inaruhusu watumishi wake kufanya dhuluma kwa watanzania kwa kigezo cha kufanya kazi huko?
Ombi, langu kwa taaisisi hii nyeti wajitahidi kuwaboreshea maisha watumishi wao kuepuka aibu ndogo ndogo kama hizi maana vijana hawa hawa hawakawii kuuza siri za taifa hili kwa maadui kwa kigezo cha maslahi.
Huwa nakutana na vijana kutoka Ubalozi wa kenya, vijana ukikaa nao hata nature ya mazungumzo yao unaona kabisa idara yao ya NIS ilifanya kazi ya ziada ya kuwachuja na kuwa recruited, tofouti na hawa vijana wetu ambao tunawategemea kama taifa wao ni starehe na ulimbukeni usio na faida yoyote kwa taifa.
Asante mkuu... Mungu ni mwema sana. Mungu awashindie changamoto zao. Zaidi awape Afya njema na shibe kwa familia zao. Haya ndo muhimu zaidi.Ndo dunia mkuu wangu....
Pole sana kwa "sympathy & empathic understanding"
Shukuru Mungu bi mkubwa wako alihurstle na kuwa na "vilemba" k'koo kufikia nafuu ya maisha....
I dedicate to you the song "heaven or hell" by Meek Mill and Jada Kiss".....lisikilize chupa hilo na scripts zake...hatareee.....
Alamsiki binnour[emoji120]
Aaaamin aaaamin 🙏Asante mkuu... Mungu ni mwema sana. Mungu awashindie changamoto zao. Zaidi awape Afya njema na shibe kwa familia zao. Haya ndo muhimu zaidi.
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Wengi Wametimuliwa Muda Mrefu Sana Hawapo Huko TenaKuna mmoja Anapiga mizinga ya vocha balaa
Hao Wametimuliwa Muda MrefuHao Teeth wanaishi kwa ujanja ujanja tu ,kwahiyo wanaonyesha identity zao ili wapate favor tu hawana lolote ,kuna jamaa mtaani kote anajifanya anafanya kazi idara nyeti lakini hata GX90 hana mwaka wa 20 huu,hana nyumba ya maana zaidi ya kupanga tofali kwenye skwata.
Kwakifupi kwenye makampuni,mashirika,taasisi wanaofaidika ni only wale top layers tu ila wengine hawa wa chini(majority) wanaishi kiujanja ujanja tu.
Kwahiyo teeth hao wachini wanaishi kwa "unajua mimi ni nani"?
Haa Umelishwa Ukoko Uliounguanaskia watumishi wa hiyo sehem nyeti huwa wanafanyiwa intensive vetting tangia utotoni sasa sijui ni nini umuhimu wa hiyo vetting
WanajitoleaMshahara wa ofisa unafika milioni kweli?
Hata waliomo humo bado ni matapeli kwelikweli yaani halafu ni washamba hasa wakiona mwanamke mweupe, kuna mmoja huo nimemkamatia gari yake hadi atakapo rejesha pesa. Uongo mbaya wanatia aibu sana hawa vijana wa DiwaniHao Teeth wanaishi kwa ujanja ujanja tu ,kwahiyo wanaonyesha identity zao ili wapate favor tu hawana lolote ,kuna jamaa mtaani kote anajifanya anafanya kazi idara nyeti lakini hata GX90 hana mwaka wa 20 huu,hana nyumba ya maana zaidi ya kupanga tofali kwenye skwata.
Kwakifupi kwenye makampuni,mashirika,taasisi wanaofaidika ni only wale top layers tu ila wengine hawa wa chini(majority) wanaishi kiujanja ujanja tu.
Kwahiyo teeth hao wachini wanaishi kwa "unajua mimi ni nani"?