Kwanini watumishi wengi wa 'idara nyeti' ni matapeli na hupenda kujifunua utambulisho wao kwa wauza bia bar

Pole kwa lindo mzee…
Bro pambana na njaa zako wivu hautakusaidia, we ukutane na vishoka useme wa nyeti sijui kaunda.kwanzaa umejuaje vitambulisho ulivyoonyeshwa ndo vya wenyewe...mi nasikia ni vya siri sa we umeajuaje vikoje vina alama ya Kunguru au?😂😂😂
 
Hahha! Wewe mtoto mdogo sana chura huwenda nikawa hata kiongozi wako 😅😅😅 chapa lindo mzee baba una safari ndefu sana, bado kinda mno.
 
Mkuu mbn sababu ni dhaifu sana kutaka kuua?
 
Mkuu mbn sababu ni dhaifu sana kutaka kuua?
Tajiri, huyu bwana kumbuka alikuwa na wenzake na kuna mmoja alienda mbali akachomoa bastola ila baadae na mimi nilivyotoa yangu ikabidi tumalize hili suala kiungwana tangia hapo walinipa heshima na huwa nakutana nao mara nyingi katika majukumu yetu ya hapa na pale.
 
".....majukumu yetu ya hapa na pale".

Nyboma banaaa ha ha ha 🤣🤣🤣

Endeleeni na majukumu yenu.....🤣
 
".....majukumu yetu ya hapa na pale".

Nyboma banaaa ha ha ha 🤣🤣🤣

Endeleeni na majukumu yenu.....🤣
Nilimaanisha majukumu ya hapa na pale ambapo tunaweza kunywa bia pamoja na kupata supu pamoja, kunbuka kula pia ni mmoja ya majukumu kuuweka mwili sawa .
 
sasa kama ulikuwa na uwezo wa kuwapiga shaba na kuwalaza ndani kwanin ulete thread ya kuwalalamikia jf wakati una mamlaka/cheo/uwezo huo.

au ndo umekuja kukusanya maoni kwa kazi maalum?
Endelea kuuza magari tajiri huku si mahali pako
 
Naona Membe karudi chamani 😅😅
CCM ni chama chenye weledi.....

Alitubu Mh.Sophia Simba akasamehewa......

Mh.Kinana akasamehewa....

Mh.Ngeleja akasamehewa.....

Mh.January Makamba akasamehewa.....

El Comandante Comrade E.N.Lowassa akapokewa kwa SHANGWE NA VIGELEGELE.....🤣

Akitubu na kujirudi ni kwanini Comrade El Comandante B.C.M naye asisamehewe?!!!!

SIEMPRE CCM💪
 
💪🏾💪🏾 Membe alivyoondoka hata mimi niliuumia leo ngoja ninywe bia mbili kusherekea huyu mwamba kurudi 😅😅
 
We nawe boya. Laki 3 kwa mwezi mzima plus kulazwa kwenye mbu na baridi nayo yakujitambia?

Watu wanaingiza m3 kila siku na hawanaga mbwembwe!

Labda JW hayo majeshi mengine hapana bro.
 
We nawe boya. Laki 3 kwa mwezi mzima plus kulazwa kwenye mbu na baridi nayo yakujitambia?

Watu wanaingiza m3 kila siku na hawanaga mbwembwe!

Labda JW hayo majeshi mengine hapana bro.
Ongeza kidogo na TISS hili ni kwa full officers not assistant officer.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…