Acha pumba wewe,naweza kukuwekea salary slip ya mshahara wa Polisi field Force hapa! Hata laki 500,000 haufiki! Tena kwenye hiyo laki tano bado kuna house allowance ambayo ni 53,000 maana yake salary yake ni Tshs 447,000!
Msimpige nyundo huyo hana analojua anavyopewa ofa za bia na askari anadhani wanapokea mamilioni mwisho wa mwezi, hao viumbe polisi ndio wanatia huruma kabisa.