Kwanini watumishi wengi wanapoongea huwa kama wanaongea na wanawake tu makanisani?

sunsikwetu

Member
Joined
Feb 8, 2015
Posts
6
Reaction score
6
Nimefuatilia na mmoja nimemaliza kumfuatilia. Yaani hot ubarikiwe yake anaongea kana kwamba jinsia ya mkutano wake ni ya kike tu.

Na naona ndio wanaomfuatilia na kucheka sana mkutanoni kuliko wanaume.

Hii imekaaje. Wakina mama muache kuwajaza vichwa watumishi wakatusahau na sisi wababa ambao tupo mikutanoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…