Kwanini watusi wanataka kutambuliwa Tanzania?

CDF huenda aliona akilisema pembeni litanyamaziwa akaona aliseme wananchi wajue kuwa huko juu kuna watu wasio wenzetu wanakwamisha maslahi ya taifa. Hata hizo kesi za kimataifa zinazoishia serikali kulipa fidia usikute ni kazi zao hao aliowasema CDF. Pesa za walalahoi zinapita kwa njia hiyo kwenda kujenga nchi zao hizo za jirani.

Operesheni kimbunga irudiwe ianzie juu ishuke chini bila kuangalia nani ni nani.
Wanaotuibia ni hawa hawa tunaowapa kura. Rather wanaiba kura. Mengine ni kutafuta Mchawi.
 
Kwasababu wana Akili kuliko nyie na uwepo Wao hapa Tanzania utawasaidia Kuwaambukiza Akili zao Kubwa na nyie Kuzitumia ili kuondokana na matatizo yenu makubwa Sugu ya Ujinga, Maradhi, Upumbavu, Umasikini, Ushamba na Ushirikina.
Wangekua na akili wasingeuana wao kwa wao ni wajinga pekee huuana!

Wangekua na akili wasingeongoza nchi zao kwa udikiteta na kung’ang’ania nchi wakati watu hawawataki

Mwenye akili hatumii mtutu na bunduki kusilence watu na wapinzani ila anatumia manipulation

Hawa urefu mwingi akili kisoda.Sijui kwanini watu warefu akili hamnaga kabisa
 
Hoja yako haipaswi kupuuzwa.... Binafsi nimekuelewa.....
 
Sikushauri watakuja ua ndugu zako wale ni wanapenda help kuliko wamachame jasiri kama Masai na katili kuliko waarabu
 
Kama kuna kosa ambalo Tanzania inaweza kulifanya basi ni kupuuzia hawa watu wanitwa Watusi. Huko Congo, Burundi na Uganda n'ai walikua wakarimu kama Tanzania.

Watu wa Congo Kinshasa walipokua wakiambiwa kuhusu ubaya wa Watusi, waliona kama watu wa mpakani wanachuki binafsi na majirani zao. Lakini Leo hii Watusi wamepenya mpaka ikulu na Siri za nchi ya Congo ziko uchi mpaka Sasa.

Watanzania WA mikoa ya katika na ile yenye majirani wazuri, Huwa wakiambiwa ubaaya wa Watusi, wanadhani kuwa ni chuki za waha au wahangaza dhini ya majirani zao watusi.

Tanzania inatakwimu ya kupokea au kutoa uraia kwa wakimbizi wengi na idadi kubwa zaidi ni Kabila la Wahutu zaidi ya Watusi wachache.

Jambo la kujiuliza, ni kwanini Wahutu huchangamana vizuri na Makabila ya Tanzania na kuwa wamoja tofauti na Watusi. Watusi wamebaki na Miata aka Yao na kujitenga ingawa huwezi kujua kama haufuatilii. Mfano watusi wakiwa katika ngazi flani lazima atapenyeza watusi wenzie. Watusi akiwa naishi Tanzania basi lazima atakua na nyumba kwa Rwanda. Mtusi akiwa na Biashara yake basi lazima ataajiri Watusi wenzie.

Hawa watu wanakua na mikutano yao na agenda zao ambao wanazisimamia kimkakati. Mikakati ya hao watu huwezi kurithishwa vizazi mpaka vizazi.

Pale utakapoanza kumuona Mtusi kama ndugu yako na kujisahau , hapo ndipo kosa.

Sasa wameanza kutaka watambuliwe Kipekee hapa Tanzania.

Kwanini Wahutu walio wengi hawajawahi kuota KUTAMBULIWA lakini Watusi WANATAKA KUTAMBULIWA, Wana agenda Gani miaka ijayo?

Wakishatambuliwa watadai ardhi Yao ya asili itambulike, itakua eneo Gani la Tanzania?

Huko Congo walipokelewa na kuishi kwa miaka mingi, walianza vuguvugu la kutaka kutambulika kama hivi wanavyoanza Sasa hapa Tanzania.

Hawa watu sio wakufumbia macho. Kunatakiwa kuwa na Kitengo maalum Cha kuwachunguza watu wenye asili ya Rwanda hasa watusi.
Watatandikwa mpaka wasahau anayewatuma
 
Mm nimeishi Rwanda wanasikiliza Sana kwao na kupendana .wao ukiwa sio mtusi ni katuni.nenda kajiolee muha.mkinga.mkurya.msukuma.mhehe. utanishukuru
mkuu mbona unanitisha ! Hiyo kupendana ni kweli hawa jamaa wanapenda familia zao sana yaan ndugu zao
 
Kama kuna kosa ambalo Tanzania inaweza kulifanya basi ni kupuuzia hawa watu wanitwa Watusi. Huko Congo, Burundi na Uganda n'ai walikua wakarimu kama Tanzania.

Watu wa Congo Kinshasa walipokua wakiambiwa kuhusu ubaya wa Watusi, waliona kama watu wa mpakani wanachuki binafsi na majirani zao. Lakini Leo hii Watusi wamepenya mpaka ikulu na Siri za nchi ya Congo ziko uchi mpaka Sasa.

Watanzania WA mikoa ya katika na ile yenye majirani wazuri, Huwa wakiambiwa ubaaya wa Watusi, wanadhani kuwa ni chuki za waha au wahangaza dhini ya majirani zao watusi.

Tanzania inatakwimu ya kupokea au kutoa uraia kwa wakimbizi wengi na idadi kubwa zaidi ni Kabila la Wahutu zaidi ya Watusi wachache.

Jambo la kujiuliza, ni kwanini Wahutu huchangamana vizuri na Makabila ya Tanzania na kuwa wamoja tofauti na Watusi. Watusi wamebaki na Miata aka Yao na kujitenga ingawa huwezi kujua kama haufuatilii. Mfano watusi wakiwa katika ngazi flani lazima atapenyeza watusi wenzie. Watusi akiwa naishi Tanzania basi lazima atakua na nyumba kwa Rwanda. Mtusi akiwa na Biashara yake basi lazima ataajiri Watusi wenzie.

Hawa watu wanakua na mikutano yao na agenda zao ambao wanazisimamia kimkakati. Mikakati ya hao watu huwezi kurithishwa vizazi mpaka vizazi.

Pale utakapoanza kumuona Mtusi kama ndugu yako na kujisahau , hapo ndipo kosa.

Sasa wameanza kutaka watambuliwe Kipekee hapa Tanzania.

Kwanini Wahutu walio wengi hawajawahi kuota KUTAMBULIWA lakini Watusi WANATAKA KUTAMBULIWA, Wana agenda Gani miaka ijayo?

Wakishatambuliwa watadai ardhi Yao ya asili itambulike, itakua eneo Gani la Tanzania?

Huko Congo walipokelewa na kuishi kwa miaka mingi, walianza vuguvugu la kutaka kutambulika kama hivi wanavyoanza Sasa hapa Tanzania.

Hawa watu sio wakufumbia macho. Kunatakiwa kuwa na Kitengo maalum Cha kuwachunguza watu wenye asili ya Rwanda hasa watusi.
Kwa nchi yangu hii Tanzania,ni vigumu kufuatilia hawa watu kwani inahitaji intelijensia ya hali ya juu( ambayo hatuna) kuwastukia.
Nchi hii tupo hapa tulipo kwa neema ya Mungu tu.Ukweli ni kwamba wameshapenya sana katika mifumo nyeti na hawajulikani.
 
Kama kuna kosa ambalo Tanzania inaweza kulifanya basi ni kupuuzia hawa watu wanitwa Watusi. Huko Congo, Burundi na Uganda n'ai walikua wakarimu kama Tanzania.

Watu wa Congo Kinshasa walipokua wakiambiwa kuhusu ubaya wa Watusi, waliona kama watu wa mpakani wanachuki binafsi na majirani zao. Lakini Leo hii Watusi wamepenya mpaka ikulu na Siri za nchi ya Congo ziko uchi mpaka Sasa.

Watanzania WA mikoa ya katika na ile yenye majirani wazuri, Huwa wakiambiwa ubaaya wa Watusi, wanadhani kuwa ni chuki za waha au wahangaza dhini ya majirani zao watusi.

Tanzania inatakwimu ya kupokea au kutoa uraia kwa wakimbizi wengi na idadi kubwa zaidi ni Kabila la Wahutu zaidi ya Watusi wachache.

Jambo la kujiuliza, ni kwanini Wahutu huchangamana vizuri na Makabila ya Tanzania na kuwa wamoja tofauti na Watusi. Watusi wamebaki na Miata aka Yao na kujitenga ingawa huwezi kujua kama haufuatilii. Mfano watusi wakiwa katika ngazi flani lazima atapenyeza watusi wenzie. Watusi akiwa naishi Tanzania basi lazima atakua na nyumba kwa Rwanda. Mtusi akiwa na Biashara yake basi lazima ataajiri Watusi wenzie.

Hawa watu wanakua na mikutano yao na agenda zao ambao wanazisimamia kimkakati. Mikakati ya hao watu huwezi kurithishwa vizazi mpaka vizazi.

Pale utakapoanza kumuona Mtusi kama ndugu yako na kujisahau , hapo ndipo kosa.

Sasa wameanza kutaka watambuliwe Kipekee hapa Tanzania.

Kwanini Wahutu walio wengi hawajawahi kuota KUTAMBULIWA lakini Watusi WANATAKA KUTAMBULIWA, Wana agenda Gani miaka ijayo?

Wakishatambuliwa watadai ardhi Yao ya asili itambulike, itakua eneo Gani la Tanzania?

Huko Congo walipokelewa na kuishi kwa miaka mingi, walianza vuguvugu la kutaka kutambulika kama hivi wanavyoanza Sasa hapa Tanzania.

Hawa watu sio wakufumbia macho. Kunatakiwa kuwa na Kitengo maalum Cha kuwachunguza watu wenye asili ya Rwanda hasa watusi.
Ukifika urambo Tabora Kuna eneo linaitwa Utusini ni kama kilometa tatu Kutoka mjini. Eneo Hilo ni la asili Kwa watusi Toka enzi za mwalimu. Hivi Wanataka kutambuliwa vipi zaidi....
 
Hao wajomba zangu was kinyambo,wahangaza,n.k hawana shida zaidi ya kujisifia sana na kujiona special sana kuliko wengine ndio tabia zao hawana shida kihivyo!

Mi huwa nawcheka TU,SEMA wanapenda kusoma sana na very strategic kwenye mambo ya msingi hawana shida!!

Cha kuepusha no roho ya kagame tu,tuunde katiba nzuri yenye usawa hata akitawala mzungu hakuna Cha kuhofia!tuna hofu coz ya katiba za hovyo tulizo nazo!!

Katiba ikiandikwa vizuri hasta ukimleta mseven Hana uwezo was kufanya lolote akivunja katiba analiwa kichwa TU hasa akitaka kung'ang'ania madaraka anapigwa Shaba na body guard wake bas!!
Hii 👆 imeenda
 
Labda tatizo ni huyo Kagame na ndoto zake ndio anasababisha mambo ya samaki mmoja akioza, wote wameoza.

Bonafsi nimeshakuwa na marafiki kadhaa wakinyarwanda kwenye mabara mengine duniani. Hakuna watu wanaojua maana loyalty East Africa kama wanyarwanda kwa experience yangu.

Halafu miaka hiyo watanzania wanajiripua wanyarwanda ulaya, kasheshe sasa mtu aongei Kinyarwanda wala hajui lolote kuhusu hiyo nchi.

Wazungu wakikutilia shaka huyu kama sio mnyarwanda hatua ya mwisho kabla ya kurudishwa kwenu Tanzania unapelekwa mahakamani kuthibitisha, anatafuta mnyarwanda wakweli kama interpreter anaejua Kiswahili.

Hapo ndipo wazungu walipobugi jamaa wakikuuliza maswali ukiboronga si mnaongea Kiswahili wao wazungu hawajui mnyarwanda anakujibia majibu sahihi hii iliwakuta watu wengi sana zama hizo kuokolewa kurudishwa dakika za mwisho.

Ni ambitions za Kagame ndio zina haribu reputation ya wanyarwanda hasa Tutsi’s. Lakini ni watu poa in general.

Hata watutsi wa Congo wapo hivi hivi poa sana, wengi wapole hawana ile mihemko ya kizaire kama watu wa maeneo mengine.
 
Jamii nyingi zinapenda kuendeleza tamaduni mila na desturi zao ambazo wamekuzwa katika familia zao pindi wanakua.

Hata kwenye ndoa mkitokea jamii tofauti huwa kuna mivutano sana, kuanzia mitindo ya maisha ya kila siku kama vyakula, sherehe, mazishi, uzazi n.k

Mi nahisi hiki ndicho kinapelekea tuone jamii fulani inabagua nyingine lakini nadhani ni kwa sababu ya kufanya maisha yenye uelewano kutokana na kuendana katika mtindo na mfumo mzima wa maisha ndio maana watu kutoka jamii moja wanaoana na kujenga familia.

Kama jamii fulani inajipenyeza kwenye serikali kwa maslahi binafsi na nia ovu na kufanikiwa nadhani ni uzembe wa serikali husika.

Nchi kama Canada sasa wana policy za skilled immigrants huko indians, Africans, hadi Chinese n.k wamejaa.

US pia kuna jamii nyingi tofauti.

Kikubwa ni kuwa makini na kujenga mifumo imara kwa maslahi mapana ya Taifa , wazawa na wananchi kwa ujumla.
Kuhakikisha wageni wenye uwezo tunawatumia vilivyo kujinufaisha.
 
Back
Top Bottom