Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 2,317
- 7,808
Kwahiyo unamaanisha Mungu hayupo?Mungu Hana huo mda wa kutetea wajinga wasiojitetea
Mungu hayupo mkuu. Hizo habari za Mungu ni hadithi za watu tu.Ukisoma biblia kuanzia Mwanzo mpaka Ufunuo Mungu alijitokeza waziwazi pale anapoona watu wake wakiteseka na kuumizwa.
Nimepita hapo ubungo nimeona police wakizingira kanisa la KKKT ambapo waumini wa gwajima wanasali hapo, kimachoenda kutokea hapo ni kipigo cha hatari, Mungu yuko wapi awatetee hao watu? Ni jumapili tatu zimepita wanakula kipigo tu,...
Mwenyezi Mungu amekaa kmya kwa sababu Gani? Mwenye kujua au wataalamu wa teolojia tuambieni,..
Dini zote ni ujinga tu.Ukisoma biblia kuanzia Mwanzo mpaka Ufunuo Mungu alijitokeza waziwazi pale anapoona watu wake wakiteseka na kuumizwa.