Truths
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 1,494
- 1,504
Waumini WA zama hizi wamekua very pessimistic Sana linapokuja swala LA teknolojia.
Mfano tecnolojia ya micro chip. Ambapo inaweza kuwekwa kwenye mwili WA MTU na kusaidia mambo yafuatayo.
Asiweze kupotea,
taarifa za kibenki,
taarifa za hali yake kiafya
Nk.
Pia wapo wanaokataa vitabu vya dini kusomwa kupitia softcopy. Wakiwaza hardcopy Kama ndio vitabu sahihi.
Wako wanaoonyesha Shaka kwenye Electronic comunication ambapo kiongozi wa dini anahudumu kwa television, na kuitumia kuwafikia waumini wote waliombali kijiografia.
Yaani waumini Wa zama hizi wamekua hawamuoni Mungu kwenye hizi human achievements and endeavor Bali wanamuona shetani akijiinua. Wamekua waoga Sana.
Wapo wanaokataa mitindo ya maisha ya kisasa
Mfano kulipa sadaka na zaka kupitia AtM, banks, nk.
Wako wanaopingana na nguo za kisasa m. Kuzikubali zile nguo Zilizovakiwa karne za kwanza na zilizopitwa na wakati. Wakiziona ndio nguo takatifu.nk.
Wako wanaokataa tiba za kuwekewa damu, kubadili maumbile, watoto kuzaliwa kwa chupa, career mother(Gestational carrier) wanataka kila kitu kisibadilike kwa jinsi kilivyo. Hata Kama kinawaumiza wengine
Pia wako wanaokataa Ku adopt watoto..
Wako wanaoona hats michezo ni dhambi..
Kwa MTU asiye na Imani anawaona kama wasiopata elimu sahihi ya maana ya teknolojia.