Kwanini Wauza Majeneza na Dawa Pharmacies wakituambia Karibu tena tunachukia na kuwaelewa vibaya?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Na kwa mfano kama ukija Kwangu GENTAMYCINE Muuza Majeneza na nikakuuzia unataka nikuambie neno gani zaidi ya Karibu tena?

Mnajua kabisa Mimi nafanya Biashara na moja ya Kanuni Kuu yoyote ya Mfanyabiashara ni kuwa na Customer Care hivyo nijuavyo hata ukija Kununua hilo Jeneza Kwangu ni lazima tu nitakuambia Karibu tena huku nikiwa Natabasamu kwa Bashasha zote.

Pole ya Kiubinadamu kutokana na huko Kufiwa Kwako nitakupa ila Kukuambia karibu tena uje Uchague na Ununue Jeneza / Majeneza Kwangu nitafanya hivyo.
 
Bro I guess Mr fella umekuwa flopp mkuu, yaani 24 minutes- 18 views na 1 comment 😁😀😂.
👉 I mean no malice to nobody
 
Mbona katika 95% ya Mada zangu ambazo huwa zinachangiwa sana hapa JamiiForums hadi Kufikia Kurasa za 50 huwa sikuoni ukijitokeza Kupongeza na badala yake unavizia Uzi wangu ukiwa haujachangiwa?

Hivi ningekuwa nimeshuka Kama usemavyo ningekuwa miongoni mwa Members 10 hadi 20 Bora wanaoongoza Kusomwa na Kufuatiliwa mno hapa JamiiForums?

Hivi GENTAMYCINE ambaye nasomwa na Wakubwa wengi mfano Rais wako Samia, Rais Mstaafu Kikwete, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden Dkt. Wilbroad Slaa, CDF Mstaafu Gen. Mabeyo, TISS DGIS's wako Wote, nafuatiliwa na Media pamoja na Blogs mbalimbali hadi zingine zinanitaja Hewani kama Azam Tv Sports na Kipindi cha Michezo cha EATv naweza Kushuka?

Na labda hujakijua tu hawa hawa Members unaosema hawajachangia huu Uzi wangu ndiyo hao hao walinipigia Kura za Ushindi hapa na Kuwazidi hao unaowaona Bora Kwako wakiwa hapa JamiiForums.

Hivi ambaye hana maana na hakubaliki anaweza kuwa na Utajiri wa Great Thinkers ( Followers ) wapatao 152 hapa JamiiForums? Wewe mpaka sasa unao wangapi?

Mwisho sianzishi Mada mbalimbali hapa JamiiForums ili Uchangiwe na wengi bali huwa naamua ama Kuhabarisha na kutoa Ujumbe na sijawahi Kumlazimisha Mtu achangie Mada zangu kama ambavyo huwa Wengi wao wanachangia mno Mada zangu.

Nimeamua kuja na huu Ufafanuzi mrefu Kwako kwakuwa licha ya Kukugundua kuwa ni Mpumbavu wa Kutuka pia Wewe ni Mtu mwenye Uswahili, Wivu, Roho Mbaya na utakuwa na Uwendawazimu mkubwa tu.

Nimemaliza.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
 
I mean no malice to nobody, mkuu unasema we ni great still 2 hours, views 60
 
Back
Top Bottom