Kwanini wavuta bangi hawasikii kero za Mbu?

Kwanini wavuta bangi hawasikii kero za Mbu?

Blaszczykowski

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2022
Posts
310
Reaction score
1,100
Majuzi kati nilikuwa mitaa ya Sinza kupiga misele kwa washkaji nilikaa kama siku 4 hivi siku 3 zilikuwa za mateso kwangu uyu mdudu anaeitwa MBU.

Hata awe mmoja ndani siwezi lala sasa uyu mwenzangu ni mtu wa ganja yaani ganja ni kolee jamaa akilala hasikii mbu wala shangazi yake mbu.

Nikijaribu kumwambia kuhusu neti anasema hawana madhara aise siku ya 4 nilienda mwenyewe kwa MUHA 12000/= kununua net nikampa kama zawadi.

Yaani nikilala hivi naona MBU kama wananiona mimi tu mwenzangu hana habari.

BANGI IS TRUE MADICATION?
 
Back
Top Bottom