Blaszczykowski JF-Expert Member Joined Dec 20, 2022 Posts 310 Reaction score 1,100 May 7, 2023 #1 Majuzi kati nilikuwa mitaa ya Sinza kupiga misele kwa washkaji nilikaa kama siku 4 hivi siku 3 zilikuwa za mateso kwangu uyu mdudu anaeitwa MBU. Hata awe mmoja ndani siwezi lala sasa uyu mwenzangu ni mtu wa ganja yaani ganja ni kolee jamaa akilala hasikii mbu wala shangazi yake mbu. Nikijaribu kumwambia kuhusu neti anasema hawana madhara aise siku ya 4 nilienda mwenyewe kwa MUHA 12000/= kununua net nikampa kama zawadi. Yaani nikilala hivi naona MBU kama wananiona mimi tu mwenzangu hana habari. BANGI IS TRUE MADICATION?
Majuzi kati nilikuwa mitaa ya Sinza kupiga misele kwa washkaji nilikaa kama siku 4 hivi siku 3 zilikuwa za mateso kwangu uyu mdudu anaeitwa MBU. Hata awe mmoja ndani siwezi lala sasa uyu mwenzangu ni mtu wa ganja yaani ganja ni kolee jamaa akilala hasikii mbu wala shangazi yake mbu. Nikijaribu kumwambia kuhusu neti anasema hawana madhara aise siku ya 4 nilienda mwenyewe kwa MUHA 12000/= kununua net nikampa kama zawadi. Yaani nikilala hivi naona MBU kama wananiona mimi tu mwenzangu hana habari. BANGI IS TRUE MADICATION?
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 May 7, 2023 #2 Blaszczykowski said: Majuzi kati nilikuwa mitaa ya sinza kupiga misele kwa washkaji nilikaa kama siku 4 ivi Click to expand... Mmmh
Blaszczykowski said: Majuzi kati nilikuwa mitaa ya sinza kupiga misele kwa washkaji nilikaa kama siku 4 ivi Click to expand... Mmmh
babukijana JF-Expert Member Joined Jul 21, 2009 Posts 14,478 Reaction score 18,341 May 7, 2023 #3 Mvuta bangi kama anaweza kuvuka mfereji akizania mto akadumbukia. Hizo abari zingine mtamuonea tu. Ila kwenye Menu bana, ile dawa ya apetite unaweza kula ugali wa ukoo mzima. Mboga dagaa tu na mitembele.
Mvuta bangi kama anaweza kuvuka mfereji akizania mto akadumbukia. Hizo abari zingine mtamuonea tu. Ila kwenye Menu bana, ile dawa ya apetite unaweza kula ugali wa ukoo mzima. Mboga dagaa tu na mitembele.
Notorious thug JF-Expert Member Joined Dec 29, 2021 Posts 2,817 Reaction score 10,667 May 7, 2023 #4 Ukivuta bangi unaku HIGH
Crocodiletooth JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 20,561 Reaction score 24,428 May 7, 2023 #5 Bangi ikikuzoea sana huwa inapiga mwili ganzi, hata kwa wale wa kagoli kamoja huweza kwenda mwendo mrefu kidogo πππ
Bangi ikikuzoea sana huwa inapiga mwili ganzi, hata kwa wale wa kagoli kamoja huweza kwenda mwendo mrefu kidogo πππ