[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Kuna jambo kwa muda nimekuwa nalitafakari hivi kwanini wavuta bangi wanawachukia wanywa pombe na pombe. Kwa udadisi wangu nimeona ukimuelezea mvutaji madhara ya bangi lazima atadakia kwa kuiponda pombe na kuisemea mbovu pombe hata kama hakuulizwa
Kimbilio la wavuta bangi ni kuiponda pombe na wao wakijiona wana akili sana .Hii tabia imekithili sana mpaka imekuwa kero hata sijui beer iliwakosea nini
View attachment 833870View attachment 833871
Mtu akivuta kiwango kikazidi anakua zaidi ya kulewa mkuu. Ni kusizi tuHivi bangi inalewesha?, mimi sijawahi kuona mtu kalewa bangi hata siku moja.
Hebu nijuzeni hili wakuu
Wanya? Mimi siwachukii... [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji23]Kuna jambo kwa muda nimekuwa nalitafakari hivi kwanini wavuta bangi wanawachukia wanywa pombe na pombe. Kwa udadisi wangu nimeona ukimuelezea mvutaji madhara ya bangi lazima atadakia kwa kuiponda pombe na kuisemea mbovu pombe hata kama hakuulizwa
Kimbilio la wavuta bangi ni kuiponda pombe na wao wakijiona wana akili sana .Hii tabia imekithili sana mpaka imekuwa kero hata sijui beer iliwakosea nini
View attachment 833870View attachment 833871