Kwanini wavuta bangi wanaichukia pombe na wanya pombe ?

junky

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
413
Reaction score
978
Kuna jambo kwa muda nimekuwa nalitafakari hivi kwanini wavuta bangi wanawachukia wanywa pombe na pombe. Kwa udadisi wangu nimeona ukimuelezea mvutaji madhara ya bangi lazima atadakia kwa kuiponda pombe na kuisemea mbovu pombe hata kama hakuulizwa

Kimbilio la wavuta bangi ni kuiponda pombe na wao wakijiona wana akili sana .Hii tabia imekithili sana mpaka imekuwa kero hata sijui beer iliwakosea nini
View attachment 833870
FB_IMG_15340854441533582.jpg
 
Kuna jambo kwa muda nimekuwa nalitafakari hivi kwanini wavuta bangi wanawachukia wanywa pombe na pombe. Kwa udadisi wangu nimeona ukimuelezea mvutaji madhara ya bangi lazima atadakia kwa kuiponda pombe na kuisemea mbovu pombe hata kama hakuulizwa

Kimbilio la wavuta bangi ni kuiponda pombe na wao wakijiona wana akili sana .Hii tabia imekithili sana mpaka imekuwa kero hata sijui beer iliwakosea nini
View attachment 833870View attachment 833871
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
nikujihami tu kwa kuwa wao starehe yao ni cheap na hela ya bia hawana basi hasira za ukata wao wanamalizia kwetu sisi pamoja na kinywaji chetu pendwa...
 
Hivi bangi inalewesha?, mimi sijawahi kuona mtu kalewa bangi hata siku moja.

Hebu nijuzeni hili wakuu
 
Kuna jambo kwa muda nimekuwa nalitafakari hivi kwanini wavuta bangi wanawachukia wanywa pombe na pombe. Kwa udadisi wangu nimeona ukimuelezea mvutaji madhara ya bangi lazima atadakia kwa kuiponda pombe na kuisemea mbovu pombe hata kama hakuulizwa

Kimbilio la wavuta bangi ni kuiponda pombe na wao wakijiona wana akili sana .Hii tabia imekithili sana mpaka imekuwa kero hata sijui beer iliwakosea nini
View attachment 833870View attachment 833871
Wanya? Mimi siwachukii... [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji23]
 
Back
Top Bottom