Kwanini 'Wazamiaji' wengi wa Harusini ( Shughulini ) ndiyo huongoza kwa Kufakamia Vyakula na Kunywa Bia hadi Kulewa hovyo?

Kwa sababu wengi huwa hatunaga(nimewakilisha walalahoi wote) uhakika wa kula vyakula kama hivyo na kunywa kama hivyo katika maisha yetu ya kawaida wenyewe mnatuitaga malimbukeni
 
Wengine tulikuwa tunafuata warembo. Unaingia mida ya Karibu shughuli kuisha, unawinda kabinti, unamjaza uongo kwa hakika tulikuwa hatukosi. Lazima uwe smart kimavazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…