Kidevundevu
Member
- Jun 4, 2023
- 38
- 44
Bundle... Niwekee summary ya kilicho zungumziwa.Majibu ya swali lako haya hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bundle... Niwekee summary ya kilicho zungumziwa.Majibu ya swali lako haya hapa
Tafuta bundle umsikilize aliyoeleza hata Kwa summary ktk maandishi ni gazeti tosha kabisa so I'm sorry sitaweza.Bundle... Niwekee summary ya kilicho zungumziwa.
Sheria zinaondoa vipengele kwenye katiba? Maana katiba inasema ni jambo la muunganoNilimsikia Rais Mwinyi na Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar kuwa bandari za Zanzibar hazimo tena chini ya Muungano kutokana na sheria mpya waliyotunga na kwamba bandari za Zanzibar zitaendelezwa kwa utaratibu tofauti.
Tudai serikali moja, wazenji wametupiga kwa visasiSuala la DP World ya Waarabu wa Dubai kuwekeza katika bandari zetu linadaiwa kuwa na faida nyingi sana kwetu kama Taifa.
Inadaiwa mkataba utachagiza na kuchochea ukuaji wa sekta nyingine za kiuchumi (multiple effect) zikiwemo kilimo, utalii, viwanda, mifugo, uvuvi, biashara na usafirishaji na hivyo kuboresha ustawi wa Watanzania kwa ujumla.
Pia inadaiwa kuwa mkataba huu utaweka mifumo ya kisasa ya TEHAMA inayohitajika na TPA.
Zaidi ya hapo mkataba huu unadaiwa utawezesha huduma za TPA kuwa bora na zenye ufanisi wa kuridhisha na zilizo wazi kwa Watanzania na wadau, katika uendeshaji wa bandari za Tanzania.
Na kadhalika...
Mkataba huu pamoja na kupingwa na idadi kubwa ya Watangayika, unaonekana kuungwa mkono karibu na asilimia 100% ya Wazanzibar
Swali: Kwa nini hakuna Mzanzibari hata moja anayelalamikia kitendo cha Mkataba huu wa DP World ya Waarabu wa Dubai kuwatenga wasinufaike na wao?
Kwa hiyo Watanzania wanaodaiwa kutokuwa na uadilifu wa kusimamia uendeshaji wa chao chombo kama Bandari kwa maneno mengine ni Watanganyika tu.
Kwa maana nyingine huu mkataba ni katika jitihada ya kuwakomboa Watanganyika ambao wamekosa sifa na uwezo wa kujiendeleza wakiachwa peke yao.
Ni CCM pekee ndio wamebaki wakiushikilia huo muungano (feki).Uvunjwe haraka huu muungano wa hovyo
Majibu ya kiongozi mkubwa wa zenji
Sikiliza dakika ya 9.15 hadi 12
Leta hivo vipengele vinavyosema bandari ya zanzibar inahusika na muungano, usilete perepete mlizokuwa mnazibumba JF miaka nenda rudi kwa wajinga wa JFLakini Bandari ni suala la muungano kwa mujibu wa mkataba wa muungano. Hapa ndipo hoja inakuja, huu mkataba wa Tanzania , ni upi huo? Kwanini usiwe mkataba wa Tanganyika? Na hapa ndipo tunauliza role ya Rais SSH kama rais wa JMT ni ipi? Na kwanini board za bandari za bara zina Wazanzibar na hata nafasi za kazi zinatolewa kwa kuzingatia Uzanzibar. Ni kwanini Wabunge wa Zanzibar ndani ya Bunge la JMT walikwenda Dubai katika ile kamati ya watu 30? Hawa walimwakilisha nani ikiwa suala zima ni la Watanganyika.
JokaKuu Pascal Mayalla
Majibu ya kiongozi mkubwa wa zenji
Sikiliza dakika ya 9.15 hadi 12
Na CCM ni viongozi pekee ndiyo wameshikilia huo muungano fakeNi CCM pekee ndio wamebaki wakiushikilia huo muungano (feki).
CCM ikiondoka leo, majibu ya muungano tunayapata haraka sana.
Mkuu Nguruvi3 , Jussa alighafilika tuu na kutoa hizo kauli za kihayawani!, msameeni bure kama tulivyo msamehe Mbowe!.
Si unakumbuka hata Zanzibar kujiita nchi ilianza sheria ya serikali ya Zanzibar na baadaye katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ikarekebishwa.Sheria zinaondoa vipengele kwenye katiba? Maana katiba inasema ni jambo la muungano
Mpaka kisiwa kilichokuwa kinabishaniwa kusini mwa DSM wamepewa kuwa ni cha Zanzibar, maana yake Dar haina bahari ni land locked.Samia kawawezesha sana hawa. Sasa wanawika.
Alikuwa mmoja wao toka mwanzo, lakini hakuna aliyemstukia!
Sasa anatimiza matakwa yao, ndiyo maana wamepoa kabisa na kelele za kero za muungano huzisikii tena, kwa sababu Samia alikwisharekebisha mengi ya madai yao.
Wazanzibar wanajua kwamba wamesgatukabidhi zigo la mavi ili tupakae,wao hawana shida.Suala la DP World ya Waarabu wa Dubai kuwekeza katika bandari zetu linadaiwa kuwa na faida nyingi sana kwetu kama Taifa.
Inadaiwa mkataba utachagiza na kuchochea ukuaji wa sekta nyingine za kiuchumi (multiple effect) zikiwemo kilimo, utalii, viwanda, mifugo, uvuvi, biashara na usafirishaji na hivyo kuboresha ustawi wa Watanzania kwa ujumla.
Pia inadaiwa kuwa mkataba huu utaweka mifumo ya kisasa ya TEHAMA inayohitajika na TPA.
Zaidi ya hapo mkataba huu unadaiwa utawezesha huduma za TPA kuwa bora na zenye ufanisi wa kuridhisha na zilizo wazi kwa Watanzania na wadau, katika uendeshaji wa bandari za Tanzania.
Na kadhalika...
Mkataba huu pamoja na kupingwa na idadi kubwa ya Watangayika, unaonekana kuungwa mkono karibu na asilimia 100% ya Wazanzibar
Swali: Kwa nini hakuna Mzanzibari hata moja anayelalamikia kitendo cha Mkataba huu wa DP World ya Waarabu wa Dubai kuwatenga wasinufaike na wao?
Nani kawapa!Mpaka kisiwa kilichokuwa kinabishaniwa kusini mwa DSM wamepewa kuwa ni cha Zanzibar, maana yake Dar haina bahari ni land locked.
Kilikuwq kinaitwa Latham Island (Fungu Mbaraka) , sasa kinaitwa Fungu Kizimkazi, kusini mashariki mwa Dar eti ni zenji bado. Tumekwisha.
Sikuizi watu wanasaini tu kwa kumuogopa. Tanganyika kwisha. Raia wa nchi jirani ya Zanzibar wangebaki makamu Rais tu kulinda maslahi ya nchi yao pendwa ya Zanzibar.Nani kawapa!
Wasicheze na moto hawa!
Sasa wamevuruga, hawakujua jinsi ya kula na kipofu.
Samia kaonyesha udhaifu wa ajabu sana.Sikuizi watu wanasaini tu kwa kumuogopa. Tanganyika kwisha. Raia wa nchi jirani ya Zanzibar wangebaki makamu Rais tu kulinda maslahi ya nchi yao pendwa ya Zanzibar.