Kwanini wazawa utajiri wetu ni wa kawaida?

Nimejiuliza nimekosa majibu, 2015 alikuja mhindi mmoja nyumbani akiomba nimpatie gari abebe vyuma chakavu from Jombe to Kibaha , since then amekuwa kama mshikaji bado nampakilia sana vyuma, kinachonishangaza amekusanya mtaji mkubwa kwa miaka michache, pesa aliyonayo ni kubwa sana, wakati najitafuta yeye kawa na mtaji mkubwa, nikitazama background yake dah ni ngumu kuliko mimi, najiuliza ni mbinu gani wenzetu wanazo watu wa asili ya asia.
Pia ushawahi kujiuliza kwanini hao wahindi kwao ni masikini wa kutupwa.......?

Mwishoni kabisa utagundua Tanzania ni nchi yenye wapuuzi wengi 😃
 
Hili mm kama kijana nawaambia wakubwa zetu

Sisi vijana tunaojitafuta hatufurahii sanaa wazazi wetu kufanya mashughuli ya gharama halafu mwisho wa siku unahangaika na ajira portal

Mfano
Leo hii watu wanafanya maharusi ya gharama kweli kweli yani laiti zile pesa angepewa kijana aanzie biashara kwa uangalizi wa hao wazazi wake tungekua wapi?
Yani kiufupi jamii zetu ndo zinatufanya tuendelee kuwa masikini

Mtu ana khiyari afanye harusi kubwaaa asifiwe halafu mwanawe anahangaika ajira dah kiukweli inauma sanaa
 
Kuna mahali kama tumefumbwa kuna kiza..

Yaani sisi wabongo tunfanya mambo hayana faida kabisa.
 
Sisi kipaumbele ni ngono na pombe na starehe za mbwa kukalia mkia wake yaani ubatumbua mpaka mtaji au akiba. Wao kipaumbele ni kesho awe kapanda kuliko leo
 
Hiyo biashara ya vyuma inalipa sana ila utatembelewa sana na polisi.
 
Nimejiuliza nimekosa majibu, 2015 alikuja mhindi mmoja nyumbani akiomba nimpatie gari abebe vyuma chakavu from Jombe to Kibaha , since then amekuwa kama mshikaji bado nampakilia sana vyuma, kinachonishangaza amekusanya mtaji mkubwa kwa miaka michache, pesa aliyonayo ni kubwa sana, wakati najitafuta yeye kawa na mtaji mkubwa, nikitazama background yake dah ni ngumu kuliko mimi, najiuliza ni mbinu gani wenzetu wanazo watu wa asili ya asi
Nimejiuliza nimekosa majibu, 2015 alikuja mhindi mmoja nyumbani akiomba nimpatie gari abebe vyuma chakavu from Jombe to Kibaha , since then amekuwa kama mshikaji bado nampakilia sana vyuma, kinachonishangaza amekusanya mtaji mkubwa kwa miaka michache, pesa aliyonayo ni kubwa sana, wakati najitafuta yeye kawa na mtaji mkubwa, nikitazama background yake dah ni ngumu kuliko mimi, najiuliza ni mbinu gani wenzetu wanazo watu wa asili ya asia.
Mbali na sababu nyingine pia sisi hatuna discipline pesa kidogo tu kila Mahali unataka “tutambuane”
 
Hio black tax ni noma,
Huwezi pata mkopo bila collateral, sometimes unateswa na ndugu na ukoo mkubwa
Black tax ni kitu kilichofanyiwa utafiti kabisa katika jamii ya wamarekani weusi.

Mtoto wa mjomba sijui amefanya nini, mara mtoto wa dada, sijui shangazi kaugua, mtoto wa jirani ana harusi basi tu ilimradi pesa ya mtu mmoja itumike na watu si chini ya 30, pesa hiyo hiyo inayotoka kwenye faida ya biashara yako ndogo au kamshahara kako.

Kunyanyuka hapo inahitaji divine intervention.
 
Nilikua sijui maana ya 'black tax' [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom