Kwanini wazazi wengi hawapendi tuoe single maza?

Mr. Sound

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
2,227
Reaction score
4,773
Wazazi wengi ukiwadokeza, unataka kuoa single maza, reaction yao hua si nzuri hata kama wao ni single parent.

Rafiki yangu karibuni, alinambia aligombezwa na wazazi wake, baada ya kuwaambia anataka kuoa single maza. Yeye anaamini ni mtu sahihi coz ktk miaka 2 ya mahusiano yao, hajaona tabia mbaya, pia anadai ameplay part kubwa kukuza biashara yake.

Mimi nimemshauri afuate moyo wake, coz kuoa asie single maza, haikupi quarantee ya kutopigwa matukio.

Kwa mtizamo wako, unadhani kwa nini wazazi hawataki, tuoee single maza, hasa ikiwa ndoa ya kwanza?
 
Single Maza ni mke wa mtu. Utapewa tahadhari zote kabisa ili yakikukuta yakukuta usiseme hukujua.

Hakuna anaye katazwa kuoa single Maza akiamua.

Kuoa single Maza ni uhuru wako kabisa.

Lakini usianze kusumbua watu ukianza kupigwa matukio.

Na hichi ndicho wazazi hawataki.
Ukianza kupigwa matukio unatakiwa ufe nayo mwenyewe usirudi tena kwa wazazi kulia lia na kuomba ushauri.
 
Single Mother ni mke wa mtu, kila siku tunasema hamsikii, mzazi gani atakuruhusu kuoa mke wa mtu??
 
🤣🤣🤣🤣 Jamaa kanogewa na mbususu ya single maza. Aisee hivi kwa nini mbususu zao zinakuwa tamu sana? Hili inabidi hawa gainakologist wafanyie utafiti
 
Simple hawataki sababu ni kama unaenda KUNUNUA SHAMBA LENYE MIGOGORO.
 
Lakini sii bora huyo unajua kabisa nani anakugegedea mkeo
hiyo ndio mbaya, kila mtoto unakuwa na wasiwasi naye kwamba umechanganyiwa mbegu.

lakini lazima tuelewane hapa hawa single mazas ni easy going, mkikorofishana kidogo anakumbuka baba watoto wake, utasikia "pamoja na kuniacha lakini hajawahi nifanyia hivi" ukisikia kauli hapo ni nyuma geuka mbele tembea
 
🤣🤣🤣🤣
 
Kwa mtizamo wako, unadhani kwa nini wazazi hawataki, tuoee single maza, hasa ikiwa ndoa ya kwanza?
Hii mada inahitaji kwanza ufafanuzi wa hili.
  • Nini maana ya Ndoa? - Hapa kuna jibu zaidi ya moja kutegemea mtazamo wa mtu husika, imani (Dini) yake na jamii husika. | Tukisha kubaliana na maana ya ndoa ndipo tuendelee na kipengele cha ndoa ya kwanza kabla ya kutoa jibu lililo sahihi.
 
Mpaka uonyeshwe kaburi la mzazi mwenzake ndipo uoe otherwise unakua umelima shamba la miwa jirani na shule😊☺️😄😅
Manamke kuliwa kupo tuu wether ameolewa au hajaolewa muhimu wee ndani ya nyumba unapewa mbususu muda unaohitaji...kifupi manamke asikunyime mbususu.
Akiamua kwenda kuonja vibamia vingine hayo ni maamuzi yake and there is nothing u can do about it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…