Kwanini wazazi wengi hawapendi tuoe single maza?

Kwanini wazazi wengi hawapendi tuoe single maza?

Mwanaume anaishi kwa kufuata AKILI sio moyo, ni A K I L I.

Mtu isipomfaa akili yake, utamdhuru ujinga wake. Muache Rafiki yako aoe tu huyo Single Mother. Aliomba ushauri kama validation tu ila tayari ana maamuzi yake.

Wazazi waliomkata sio MALOFA, acha aje afundishwe na Ulimwengu kwa vitendo.
Na makosa makubwa ya binadamu ya afwanywa pale anapofanya maamuzi kutumia hisia na sio akili.
 
Upo sahih mkuu, japo wapo single maza wachache ni wife material ni vile tu wanahukimiwa na record za wenzao
 
Jamaa yangu alienda kumtambulisha mchumba wake kwao ambae ni single mother , mama mzazi wa mshikaj akaja juu na kukataa hayo mausiano huku baba yake akiwa kimya , kisha jamaa akamuuliz mama yake mbona wewe baba alikuoa wewe ukiwa na mtoto je kulikua na shida yoyote ile
Aiseee mama alanza kulia na kudai kuwa jamaa kamtukan na kikao cha ukoo kikawekwaa kabs ndan akushikiki
Mama mwenyewe anajua, single maza ni mke wa mtu, na baba kwenye hiyo vita alikaa pembeni aone itaishaje
 
Na makosa makubwa ya binadamu ya afwanywa pale anapofanya maamuzi kutumia hisia na sio akili.
Linapokuja suala la mapenzi watu wengi, matumizi ya akili hua 10% na hisia huchukua 90%
 
Linapokuja suala la mapenzi watu wengi, matumizi ya akili hua 10% na hisia huchukua 90%
Nanhilo ndio tatizo. Mapenzi ye yewe haya ya pesa mbele...mhm. wacha tuu niitwe mshamba mie akili mbele moyo nyuma.
Ila haka kabinti ka sasa naona kama kanataka kunie desha kama gari bovu🤔🤔🤔
 
Nanhilo ndio tatizo. Mapenzi ye yewe haya ya pesa mbele...mhm. wacha tuu niitwe mshamba mie akili mbele moyo nyuma.
Ila haka kabinti ka sasa naona kama kanataka kunie desha kama gari bovu
Ukinasa pahala matumizi ya akili hua ni kidogo sana, ndo maana majuto hua mjukuu.
 
Baba aikua analakusem ila akiw n mkew anamsupport mke ila akiwa n kijan anasema tatiz mama yako sio mwelew mwanangu
amsikilize Baba, na ni akina mama wanatuambia tusione Singo mazas
 
Back
Top Bottom