Kwanini wazazi wengi hawapendi tuoe single maza?

Kwanini wazazi wengi hawapendi tuoe single maza?

Mwisho yale maneno yalimfikia yule single mother kwaiy yeye ndio akayakataa yale mausiano licha ya kutumia nguvu kubwa kumueka saw ila aikua lizik kwa jmaa
Dah! Haya mambo yapo complicated sana.
 
Wazazi wengi ukiwadokeza, unataka kuoa single maza, reaction yao hua si nzuri hata kama wao ni single parent.

Rafiki yangu karibuni, alinambia aligombezwa na wazazi wake, baada ya kuwaambia anataka kuoa single maza. Yeye anaamini ni mtu sahihi coz ktk miaka 2 ya mahusiano yao, hajaona tabia mbaya, pia anadai ameplay part kubwa kukuza biashara yake.

Mimi nimemshauri afuate moyo wake, coz kuoa asie single maza, haikupi quarantee ya kutopigwa matukio.

Kwa mtizamo wako, unadhani kwa nini wazazi hawataki, tuoee single maza, hasa ikiwa ndoa ya kwanza?
Hawataki muoe wake za watu, wenye watoto wao siku yoyote wakitaka kupasha kiporo unatombewa tu.
 
Back
Top Bottom