Kwanini Wazee wengi ambao walipata kuwa Maarufu na Matajiri nchini wakioa tu Wanawake wa 30's huugua na Kufa haraka?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Mifano ya Kichwa changu cha Habari ipo mingi tu ndani na nje ya Tanzania ila kwa Tanzania naona hali hii inaongezeka kila Uchao tu na Kututishia.
 
Madada wa 30's wakipata "BONGE LA BWANA" aka PDG huwa wanajituma sana kwa malavidavi ,sasa wazee wetu wanashindwa kuendana na kasi ya madada hivyo inawalazimu waanze kutumia MUNDENDE aka PUTURU aka VUMBI LA CONGO ,VIAGRA aka ERECTO wakati tayari wana pressure,visukari,cholesterol mwilini na matokeo yake ni KUZIMA JUU YA KIFUA.
 
Hulazimika kutumia dawa za kuongeza nguvu za kiume ....... anapata mshtuko anakufa
Ulichokiandika hapa naweza sasa Kuthibitisha kuwa ni kweli kwani hata Madaktari Bingwa Wanne nchini wamenipa Mrejesho huu huu kama wako.
 
Unaweza kukuta hiyo research yako, sample ni wazee wawili tu.
Kwani katika Research tu na hasa ukizirejea Principles zake ukichagua Sample Size ya Watu Wawili kwa Jambo fulani ni Kosa kubwa Academically?
 
Madada wa 30's wakipata "BONGE LA BWANA" aka PDG huwa wanajituma sana kwa malavidavi ,sasa wazee wetu wanashindwa kuendana na kasi ya madada hivyo inawalazimu waanze kutumia MUNDENDE aka PUTURU aka VUMBI LA CONGO ,VIAGRA aka ERECTO wakati tayari wana pressure,visukari,cholesterol mwilini na matokeo yake ni KUZIMA JUU YA KIFUA.
100% correct.
 
Dah umetisha.
 
Kama upweke unakusumbua tafuta mwanamke mtu mzima anaejielewa, sio slay queens, hofu ya kuwa cheated na mrembo wako inatosha kukupeleka kaburini 😳☝️😑
Hivi Logically tu Mzee aliye katika 70's zake na anaitafuta sasa 80 anaweza kweli kwenda na Supersonic Speed Kitandani na Mwanamke aliye 30's?
 
Kwa kweli hapana, hivi mwisho kwa mwanaume huko kitandani si miaka 70 au?? 😟😟... mimi sidhani wanaoaga wakiwa na akili timamu, au upweke unawasukuma kutaka kuoa tena??? Ndio maana familia nyingine zina intervene kwenye mali sababu sidhani kama mtu yuko above 70 anaoa akiwa na akili zake timamu😟😟, Sijui lakini
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kama hao30's wanawapeleka kaburini...waende kwa 20's...shida Ipo WAPI?
75.-20..=55...hapo hatokufa mapema.
 
Kuna mzee jirani yangu hapa kaoa mwanamke 30' Kama mke was 3, ila kwa bahati mbaya kanamperekesha sana kiasi kwamba mzee akija hapa anaondoka na stress tu. Mara kwamwambie tuachane, Mara kamtishie kuwa kataenda nje ya ndoa na Visa kibao

Sijajua Nini kimdtokea Ila yule mzee anakaribia mwezi sijamuona akija.

Sometimes Hawa wazee wanakufa kwa stress
 
Back
Top Bottom