Mungu Tusamehe Afrika
Senior Member
- Jan 18, 2022
- 139
- 204
Kiweka dini zetu kwenye maandishi ni kazi ya wizara ya elimu na utamaduni na ile idara ya mambo ya kaleUkielewa huu mtiririko ndio utaelewa kwa nini ilibidi waanze dini zao ziletwe.
Waliamza wapelelezi waliona tuna imani thabidi isiyoteteleka.
Ili watutwale ilibidi shambulio lao la kwanza liwe dhidi ya dini zetu..Ndio wakaja wamishionari kwa wingi sana.
Baada ya kuona tayari wameua nguvu ya dini zetu ndio wakaja sasa kututawala lasmi.
Ukiwaze kumtawala mtu kiimani basi kimwili ni rahisi sana.
Mimi bado naamini waafrika tulikuwa na dini zetu zenye nguvu saan kuliko hao ngozi nyeupe.
Shida yetu dini zetu hatukiziweka katika mandishi tu...hapo ndipo tulipopoteza imani na dini zetu.
#MaendeleoHayanaChama
Jutambue basi siongelei baada ya uhuru bali kabla ya uhuru,mimi babu yangu aliishi zaidi ya miaka 110,umri huu wa sasa kufikisha sijui!!Miaka Mingi ipi iyo!
Takwimu zinasema kabla ya Uhuru, wastani wa kuishi kwa Mtanzania ulikuwa ni miaka 50
Suala sio kuabudu.Waliishi muda mrefu kwa sababu ya vyakula walivyokula na kazi walizofanya.Habarini wadau,
Hii kitu inanisumbua sana kichwani naombeni mawazo yenu huenda nikapata jibu lake.
Karibuni!