Kwanini Wazee wetu wa zamani walioabudu mila za Kiafrika waliishi miaka mimi kuliko wa sasa wa Ukristo na Uislam?

Kwanini Wazee wetu wa zamani walioabudu mila za Kiafrika waliishi miaka mimi kuliko wa sasa wa Ukristo na Uislam?

Ukielewa huu mtiririko ndio utaelewa kwa nini ilibidi waanze kules dini kwanza kabla ya kukufanya watumwa.

Walianza wapelelezi waliona tuna imani thabidi isiyoteteleka.

Ili watutawale ilibidi shambulio lao la kwanza liwe dhidi ya dini zetu..Ndio wakaja wamishionari kwa wingi sana kutuletea dini zao na kuziuwa imani zetu.

Baada ya kuona tayari wameua nguvu ya dini zetu ndio wakaja sasa kututawala rasmi.

Ukiweza kumtawala mtu kiimani basi kimwili ni rahisi sana.

Mimi bado naamini waafrika tulikuwa na dini zetu zenye nguvu sana kuliko hao ngozi nyeupe.

Shida yetu dini zetu hatukiziweka katika mandishi tu...hapo ndipo tulipopoteza imani na dini zetu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ukielewa huu mtiririko ndio utaelewa kwa nini ilibidi waanze dini zao ziletwe.

Waliamza wapelelezi waliona tuna imani thabidi isiyoteteleka.

Ili watutwale ilibidi shambulio lao la kwanza liwe dhidi ya dini zetu..Ndio wakaja wamishionari kwa wingi sana.

Baada ya kuona tayari wameua nguvu ya dini zetu ndio wakaja sasa kututawala lasmi.

Ukiwaze kumtawala mtu kiimani basi kimwili ni rahisi sana.

Mimi bado naamini waafrika tulikuwa na dini zetu zenye nguvu saan kuliko hao ngozi nyeupe.

Shida yetu dini zetu hatukiziweka katika mandishi tu...hapo ndipo tulipopoteza imani na dini zetu.

#MaendeleoHayanaChama
Kiweka dini zetu kwenye maandishi ni kazi ya wizara ya elimu na utamaduni na ile idara ya mambo ya kale
 
Hali ya maisha ya zaman ni tofauti na ya sasa. Hiv sasa usasa ni mwingi sana kuanzia kwenye mfumo wetu wa maisha angalia unakula nn kama chakula?, Unatumia nini kama dawa, unakunywa nn kama kinywaji, upumzika mda gan (masaa mangapi), unaishije ndan ya nyumba yako na jamii kiujumla, vip afya yako ya akili ipoje, nk hiv vyote vinaweza kuchangia umri wako wa kuishi upungue au uongezeke dini imeplay part ndogo tu
 
Miaka Mingi ipi iyo!

Takwimu zinasema kabla ya Uhuru, wastani wa kuishi kwa Mtanzania ulikuwa ni miaka 50
 
Tatizo ni chanjo na mafuta ya kula/kupikia!kabla ya Hapo mafuta ya wanyama hayakuleta athari ya magonjwa ya Moyo kama haya ya kusindikwa ya nafaka!!
 
Habarini wadau,

Hii kitu inanisumbua sana kichwani naombeni mawazo yenu huenda nikapata jibu lake.

Karibuni!
Suala sio kuabudu.Waliishi muda mrefu kwa sababu ya vyakula walivyokula na kazi walizofanya.
Walikula Dona,mboga za majani ambazo hazikuwa na mbolea.walikula nyama zisizo na madawa,nk
Kazi zao ilikuwa Ni kulima,nk
Kazi za kutoa JASHO&vyakula zilizuia MAGONJWA Kama presha,kisukari,nk
 
Back
Top Bottom