Kwanini Waziri Mkuu anatumia ndege za kukodi za Serikali zimeenda wapi?

Yaani Hii nchi toka Magufuli afariki hata staki kufuatilia chochote kuhusu hawa Watu,kuanzia mama,Majaliwa mpaka chini,nawachukia sana.sasa Hivi umeme unakatika hivyo, rushwa imeshamiri,matumizi holela ya Rasilimali,upendeleo,kujuana.
 
Mwaka mmoja uliopita

Sasa anatumi za kukodisha

Ambazo gharama ni kubwa na ukizingatia tuna ndege za serikali na marubani wa serikali kwa ajili ya usafiri wa viongozi!
Hivi nyie mnajua gharama za kumiliki, kumaintain, na kutunza ndege? Kama hauitumii mara kwa mara ni afadhali kukodi tu au hata kusafiri first class kwa intercontinental trips.
 
Hivi nyie mnajua gharama za kumiliki, kumaintain, na kutunza ndege? Kama hauitumii mara kwa mara ni afadhali kukodi tu au hata kusafiri first class kwa intercontinental trips.

wacha uzandiki wewe unataka kumaanisha ati ndege za serikali (TGFA) hazitumiki? Hivi inapita wiki bila government official kusafiri nchini?
 
Mwaka mmoja uliopita

Sasa anatumi za kukodisha

Ambazo gharama ni kubwa na ukizingatia tuna ndege za serikali na marubani wa serikali kwa ajili ya usafiri wa viongozi!
Hii Fokker 50 ambayo mara nyingi anatumia WM ipo matengenezo, ile fokker 28 ndio siku nyingi ipo grounded, sasa imebaki gulfstream tu ambayo ni maalum kwa Rais/makamu, na inatua viwanja vichache sana.
 
zitengenezwe si ma-engineer wa TGFA wapo? Fokker ni ndege zilizotengenezwa kwa mazingira yetu! uendeshaji wake ni nafuu kuliko hizi za kukodi!

BTW Fokker ilitumiwa majuzi na Makamo wa Rais alipoenda huko Burundi
 
Mzalendo wapi upuuzi mtupu,kachukua hela za wastaafu huko kwny mifuko ya jamii kanunulia ndege afu anasema tumenunua kwa pesa zetu za ndaniii.Kafanya wastaafu waishi Maisha magumu kishenzi.Hovyo Sana.
Fokker za TGFA zipo toka enzi ya Nyerere! sasa sijui zipi zimenunuliwa na fedha za mifuko ya jamii? Unaweza kuleta uthibitisho?
 
Siwalikua wanashupaza vichwa tu na yule mwendawazimu wao aliokufa, yaani ndege ikapakwe rangi na matengenezo NIT then waitumiao wawe na confidence nayo? wanaogopa kufa mule hakuna ndege mule ni screpa tu
Magaidi kama wewe nikikukamata lazima nikule kabisa

USSR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…