DocJayGroup
JF-Expert Member
- Jan 17, 2020
- 1,654
- 3,353
Hayo maFokker na ww ndio unaita ni ndege. Kampuni yenyewe ya Fokker ilishakufa mwaka 1996. Ww ndio mjinga kabisaa. Kumaintain hayo madude sasa hivi ni gharama mnoo. Kwa ufupi HAZITUMIKI!!!wacha ujinga wewe unataka kumaanisha ati ndege za serikali (TGFA) hazitumiki? Hivi inapita wiki bila government official kusafiri nchini?
Mjinga ni ukoo wako! kwehiyo ile ndege kuukuu ya Regionalair ndo ya kisasa sio?Hayo maFokker na ww ndio unaita ni ndege. Kampuni yenyewe ya Fokker ilishakufa mwaka 1996. Ww ndio mjinga kabisaa. Kumaintain hayo madude sasa hivi ni gharama mnoo. Kwa ufupi HAZITUMIKI!!!
Hivi nyie mnajua gharama za kumiliki, kumaintain, na kutunza ndege? Kama hauitumii mara kwa mara ni afadhali kukodi tu au hata kusafiri first class kwa intercontinental trips.
Badala ya kushukuru kuwa Waziri Mkuu analipunguzia Taifa hasara kwa kutumia usafiri wa umma yaani Nchi yetu imejaa mazero IQ kwakweli.Mzalendo wapi upuuzi mtupu,kachukua hela za wastaafu huko kwny mifuko ya jamii kanunulia ndege afu anasema tumenunua kwa pesa zetu za ndaniii.Kafanya wastaafu waishi Maisha magumu kishenzi.Hovyo Sana.
Hayo ni yako, lakini wamachinga wanasauti kubwa kuliko MO na Bakhresa, na wakikohowa tu Mkuu wa Mkoa analiwa kichwa wakati niliowataja haiwezekani, Rais wa nchi anawanyenyekea halafu wewe unaleta zako!kwahiyo? kwani shughuli za serikali ni za kibiashara? Hao wamachinga leseni yao inasomaje?
Gharama kubwa kiasi gani? Weka hapa hizo gharama kubwa sio kubwabwaja tuu..Mwaka mmoja uliopita
Sasa anatumi za kukodisha
Ambazo gharama ni kubwa na ukizingatia tuna ndege za serikali na marubani wa serikali kwa ajili ya usafiri wa viongozi!
Siyo wa umma, anakodi ndege yote impeleke yeye wakati zipo ndege za serikali (GFA).Badala ya kushukuru kuwa Waziri Mkuu analipunguzia Taifa hasara kwa kutumia usafiri wa umma yaani Nchi yetu imejaa mazero IQ kwakweli.
Ukipiga hesabu ya kuchoma mafuta ya jet Dar to Kigoma kwa lisaa limoja ni fedha nyingi.
Asee wew hunizidi mimi yani hata sijui kwanini Mungu katuachanizaYaani Hii nchi toka Magufuli afariki hata staki kufuatilia chochote kuhusu hawa Watu,kuanzia mama,Majaliwa mpaka chini,nawachukia sana.sasa Hivi umeme unakatika hivyo,rushwa imeshamiri,matumizi holela ya Rasilimali,upendeleo,kujuana.
Kuendelea lazima tujifunze kubana matumizi.Kuna jamaa (apumzike panapostahili ) alituita malofa...tukang'aka na kufurukuta, povu likaumuka tukatulia.
Kuna wakati naona tulimlaumu bure mzee wa watu, alichofanya ni kutuambia ukweli.
Sasa wewe sijui unaongelea kitu gani! Inaonekana haujui utaratibu wa serikali kazi yako ni kutukana tu. Serikali ina ndege zake siyo ATCL uijuayo wewe, inayo Government Flight Agency yaani kitengo cha ndege za serikali. Ndege hizo ni pamoja na ya Rais na nyingine za matumizi ya kawaida ya kiserikali tu. Mleta mada anahoji kwanini hatumii hizo za serikali badala yake anakodi za wamachinga wa ndege (sic).Gharama kubwa kiasi gani? Weka hapa hizo gharama kubwa sio kubwabwaja tuu..
Kwa hiyo in case mandege yenu Yale outdated yakoharibika shughuli za serikali zisubirie hadi matengenezo?
Unaishiwa sasa we Mzee..
Kwanza ile mindege ya fokker sijui nini ni mibovu Sana,kila kitu mdomo ndio maana mimi huwa natukanaga watu humu.
BaeleseeHivi nyie mnajua gharama za kumiliki, kumaintain, na kutunza ndege? Kama hauitumii mara kwa mara ni afadhali kukodi tu au hata kusafiri first class kwa intercontinental trips.
Sasa kwani mimi nimeongea nini? Kama ziko matengenezo? Alafu kwani hujui ndege nyingi ni za zamani hazina usalama?Sasa wewe sijui unaongelea kitu gani! Inaonekana haujui utaratibu wa serikali kazi yako ni kutukana tu. Serikali ina ndege zake siyo ATCL uijuayo wewe, inayo Government Flight Agency yaani kitengo cha ndege za serikali. Ndege hizo ni pamoja na ya Rais na nyingine za matumizi ya kawaida ya kiserikali tu. Mleta mada anahoji kwanini hatumii hizo za serikali badala yake anakodi za wamachinga wa ndege (sic).
Aisee nilikuwa sijaelewa aisee!!Siyo wa umma, anakodi ndege yote impeleke yeye wakati zipo ndege za serikali (GFA).
Ni kwanini mwendazake aligawa ndege za serikali kwa air tanzania lengo lake lilikuwa lipi? alitegemea viongozi wa serikali watumie ndege zipi?
Pengine zipo matengenezo. Na kama ni matengenezo makubwa huwa ni gharama kubwa sana hivyo itachukua muda mrefu kuzirudisha barabarani.Mwaka mmoja uliopita
Sasa anatumi za kukodisha
Ambazo gharama ni kubwa na ukizingatia tuna ndege za serikali na marubani wa serikali kwa ajili ya usafiri wa viongozi!
Ndege siyo kama gari mzee, wakati mwingine hulazimika kuwaita wataalamu wa kiwandani waje kufanya matengenezo.zitengenezwe si ma-engineer wa TGFA wapo? Fokker ni ndege zilizotengenezwa kwa mazingira yetu! uendeshaji wake ni nafuu kuliko hizi za kukodi!
BTW Fokker ilitumiwa majuzi na Makamo wa Rais alipoenda huko Burundi
Aisee!kuzirudisha barabarani.
VizuriAisee nilikuwa sijaelewa aisee!!
[emoji3][emoji3][emoji3] kiswahili cha kawaida bana,, hata kwa mtu mgonjwa unaweza itumia. Isitoshe ndege zinatumia barabara zinaitwa tax ways, runway na hata intersections.Aisee!