Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,339
- 107,983
- Thread starter
-
- #41
kwa hiyo siku zoote zinatembea tulikuwa hatuna ma-engineer wa kuzikarabati hizo Fokker 50 ila tu pale utawala wa Samia ulipoingia madarakani! Wacha majibu ya rejareja lile shirika TGFA lipo miaka mingi na si gharama hivyo kama wanavyokodisha sasa! Fokker ni one of the very easy to maintain aircraft!Ndege siyo kama gari mzee, wakati mwingine hulazimika kuwaita wataalamu wa kiwandani waje kufanya matengenezo.
Hao maengineer wanafanya baadhi tu ya matengenezo.
Week mchanganuo wa gharama zote hapa.....ndege za serikali vs ndege binafsiMwaka mmoja uliopita
Sasa anatumi za kukodisha
Ambazo gharama ni kubwa na ukizingatia tuna ndege za serikali na marubani wa serikali kwa ajili ya usafiri wa viongozi!
Zinataga airport bado hazijatotoaMwaka mmoja uliopita
Sasa anatumi za kukodisha
Ambazo gharama ni kubwa na ukizingatia tuna ndege za serikali na marubani wa serikali kwa ajili ya usafiri wa viongozi!
taxi ingependeza zaidi, ila ni runway.[emoji3][emoji3][emoji3] kiswahili cha kawaida bana,, hata kwa mtu mgonjwa unaweza itumia. Isitoshe ndege zinatumia barabara zinaitwa tax ways, runway na hata intersections.
kwa routes za Waziri Mkuu na serikali nzima inazopiga ndege za TGFA ni lazma ziwepo!Week mchanganuo wa gharama zote hapa.....ndege za serikali vs ndege binafsi
watu wanapewa commission sasa kutumia mashirika binafsi!Zinataga airport bado hazijatotoa
Parts za ndege pia huangaliwa expire date. Ambapo ndege huwa hairuhusiwi kuruka na expired part.kwa hiyo siku zoote zinatembea tulikuwa hatuna ma-engineer wa kuzikarabati hizo Fokker 50 ila tu pale utawala wa Samia ulipoingia madarakani! Wacha majibu ya rejareja lile shirika TGFA lipo miaka mingi na si gharama hivyo kama wanavyokodisha sasa! Fokker ni one of the very easy to maintain aircraft!
Zote ni barabara ila matumizi tofauti.taxi ingependeza zaidi, ila ni runway.
kuna maintenance kwenye ndege inaitwa C or D check, hiyo huwa ni heavy maintenance ,na mara nyingi hazifanyiki hapa maana ni a complete overhaul ya ndege ,hufanyika kwa manufacturer or approved hangers/agents, na inategemea na design ya ndege, kama Gulfstream huwa zinapelekwa kwa manufacturer Savanna Georgia, kuna baadhi ya ndege zinafanyika hapa-Kia,Nairobi or ethiopia. so ni issue ya kitaalamu siyo siasa au ni nani yupo madarakani.kwa hiyo siku zoote zinatembea tulikuwa hatuna ma-engineer wa kuzikarabati hizo Fokker 50 ila tu pale utawala wa Samia ulipoingia madarakani! Wacha majibu ya rejareja lile shirika TGFA lipo miaka mingi na si gharama hivyo kama wanavyokodisha sasa! Fokker ni one of the very easy to maintain aircraft!
Mkuu uko km mm sitaki presha ya moyo maana hata wanachoongea wao hawakiamini mm ni mbishi ila ilifika mahara mh rais mwendazake akihutubia nilikua nakaaa natulia kumsikiliza ila hawa twende nao tu ...Yaani Hii nchi toka Magufuli afariki hata staki kufuatilia chochote kuhusu hawa Watu,kuanzia mama,Majaliwa mpaka chini,nawachukia sana.sasa Hivi umeme unakatika hivyo,rushwa imeshamiri,matumizi holela ya Rasilimali,upendeleo,kujuana.
Kumbuka kwamba wanaofanya hayo mambo ni viongozi tena wanaCCM.Au ndiyo walengwa wa hilo "jina"?Kuna jamaa (apumzike panapostahili ) alituita malofa...tukang'aka na kufurukuta, povu likaumuka tukatulia.
Kuna wakati naona tulimlaumu bure mzee wa watu, alichofanya ni kutuambia ukweli.
Kumbuka kwamba wanaofanya hayo mambo ni viongozi tena wanaCCM.Au ndiyo walengwa wa hilo "jina"?
Ukichora katuni isiyowavutia unaswekwa mung'anda.What have we done so far?
Sawa viongozi wa ccm wanafanya hayo yote...sisi wananchi tumefanya nini?
Ben aliwajua Watanzania in..out kuwa malofa for sureKuna jamaa (apumzike panapostahili ) alituita malofa...tukang'aka na kufurukuta, povu likaumuka tukatulia.
Kuna wakati naona tulimlaumu bure mzee wa watu, alichofanya ni kutuambia ukweli.
Ukichora katuni isiyowavutia unaswekwa mung'anda.
Ukiandamana,mung'anda.
Ukipaza sauti,"unapotea"!
ππππ
Ben aliwajua Watanzania in..out kuwa malofa for sure
Ila jina la "malofa" liendelee kumilikiwa na CCM.Sasa kama ni full mung'anda kila kona tukae kwa kutulia. Na kwakuwa hatuwezi kufanya lolote, tukubali matokeo tu.
Ila jina la "malofa" liendelee kumilikiwa na CCM.