Pre GE2025 Kwanini Waziri Mkuu Majaliwa asijiuzulu ili Serikali iundwe mpya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
kusini wanalia ugumu wa maisha, tatizo la umeme, mbolea na mambo ya korosho hali ni mbaya
Huo ni uongo bhna huku kusin mbona mambo safi, tumetoka kuuza korosho juzi tu hapa baada ya mbaazi nani analia ugumu wa maisha? Lbda huko daslamu, maan huku kusin sukar ni 2700 Ugumu wa maisha gani unazungumzia? We toa sababu za kutuvutia tuungane nawe katika hizo chuki zako kwa majaliwa sio kusingizia watu wanalia, matatz ya kutegemea kubeti ndy hayo mkeka ukichanika hasira zote unamalizia kwa wanasiasa
 
Mkuu mbona unazunguka sana,tatizo ni namba moja Wala siyo namba tatu!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
NI rahisi tu! Ukiona unabadilisha wafanyakazi kila siku na bado mambo hayaendi ujue shida ni wewe
 
ikisha undes uoya, mgao wa umeme utaisha? au ajiudhuru moata stories za kuzunguzia kwenye Magroup yenu ya whatsapo ya Ukooo
 
Tatizo ni Rais mwenyewe.

Ameteua wasaidizi ambao kimsingi hawamsaidii bali wanapambana naye.

Akijiuzulu yeye na nchi itapona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…