Kwanini Wazungu ndo huwa wanatoa scholarship ya kusoma na siyo Waafrika? Mmeshawahi kujiuliza?

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Mi mara nyingi nawaombea wazungu waendelee kufaniakiwa kila wakati mana niwatoaji sana na wana utu. Ndo mana utawakuta watu au wanafinzi wako busy kuapply scholarships huko ulaya au marekani ila kinyume chake haiwezekani.

Miafrika ni mibahili na ina roho mbaya sana na michawi haipendani ndo maana imelaaniwa.

Ee Mungu endelea kiwabariki wazungu.
 
Yawezekana nikawa kinyume na wewe kuwa sio wote (Africans) wako na roho mbaya mkuu. Kinachotofautisha "A" na "B" wenzetu hufundishwa kutoa na kupendana wakiwa bado wadogo kabisa, na hadi wanakuwa hukua na hio hio desturi ndio maana utaona NGOs nyingi wanaofanya donation kubwa ni wao.
 
Mi mara nyingi nawaombea wazungu waendelee kufaniakiwa kila wakati mana niwatoaji sana na wana utu. Ndo mana utawakuta watu au wanafinzi wako busy kuapply scholarships huko ulaya au marekani ila kinyume chake haiwezekani.

Miafrika ni mibahili na ina roho mbaya sana na michawi haipendani ndo maana imelaaniwa.

Ee Mungu endelea kiwabariki wazungu. Mwafrica Roho mbaya sana. Waafrika tuna shida inayohitaji mabadiliko makubwa. Scholarship za bure zinaletwa, watu maafisa wakikosa watoto/ndugu/ hawara wa kuwapeleka wanazitupilia mbali zinapotea na tunakosa watalaam. Hata kama una akili zote, bila kujuana hupewi hiyo scholarship.
 
Kuna watu wapo na roho nzuri na ni weusi.

Yupo madam mmoja JF hapa she is very humble .

Ni kweli black people hatutoi Ila usifanye generalization .

Being a giver inatokana na mambo mengi ikiwemo malezi , abundance mind set and so on.
 
Mi mara nyingi nawaombea wazungu waendelee kufaniakiwa kila wakati mana niwatoaji sana na wana utu. Ndo mana utawakuta watu au wanafinzi wako busy kuapply scholarships huko ulaya au marekani ila kinyume chake haiwezekani.

Miafrika ni mibahili na ina roho mbaya sana na michawi haipendani ndo maana imelaaniwa.

Ee Mungu endelea kiwabariki wazungu.
Mwafrica Roho mbaya hasa sisi weusi. Scholarship za bure zinaletwa, na maafisa wanaozipitisha wakikosa watoto, ndugu, marafiki au hawara wa kuwapeleka wanaona Bora kuzitupilia mbali maskini hata kama ana akili zote (genius) kiasi gani hapewi. Taifa linadumaa, limedumaa litadumaa.
 
Mi mara nyingi nawaombea wazungu waendelee kufaniakiwa kila wakati mana niwatoaji sana na wana utu. Ndo mana utawakuta watu au wanafinzi wako busy kuapply scholarships huko ulaya au marekani ila kinyume chake haiwezekani.

Miafrika ni mibahili na ina roho mbaya sana na michawi haipendani ndo maana imelaaniwa.

Ee Mungu endelea kiwabariki wazungu.
 
Mimi ni dereva bajaj hizi bolt kuna mda najiuliza wale wazungu waliowatesa sana babu zetu walitoka wapi asilimia kubwa wanajali mda wetu hawako rude unampeleka sehemu ya 2000 anakuachia 10000 yote watatufundisha na sisi kutoa ambako hakuhusiani na utajiri lkn kuna mbongo unampeleka kkoo ana duka la mtaji wa mabilioni humo kwenye bajaji ni simu za hela ndefu lkn mkifika kkoo chenji ya 500 mnatafuta nusu saa

Waafrika tuna roho ngumu sana unakuta mtu anauza mboga utaskia nipe fungu moja hela pitia kesho hapo ndo kashazurumu anatamba ana hela mtaani

Wazungu maadili tu ya mambo ya jinsia moja ndo yanazingua lkn most of them wana roho nzuri sana
 
Sisi ni watu wenye roho mbaya sana, tunatamani tuwe navyo kuliko wengine, hatujui kutoa bali tumezoea kupewa tu.
 
Mi mara nyingi nawaombea wazungu waendelee kufaniakiwa kila wakati mana niwatoaji sana na wana utu. Ndo mana utawakuta watu au wanafinzi wako busy kuapply scholarships huko ulaya au marekani ila kinyume chake haiwezekani.

Miafrika ni mibahili na ina roho mbaya sana na michawi haipendani ndo maana imelaaniwa.

Ee Mungu endelea kiwabariki wazungu.
Ohoo mkuu tatizo Ccm tu mkuu siku ikipata kiongozi bora utaona mambo

Scholarship za africa zipo tatizo wanapeana kwa watoto wa viongozi tu

Hujawai sikia au kuona ndugu rafiki kaenda jifunza samia Scholarship??
 
umeshindwa kulipa ada kwa sababu mbalimbali ikiwemo matatizo hufanyi mtihani sembuse ulipiwe ada na hostel free hahhah
 
Mi mara nyingi nawaombea wazungu waendelee kufaniakiwa kila wakati mana niwatoaji sana na wana utu. Ndo mana utawakuta watu au wanafinzi wako busy kuapply scholarships huko ulaya au marekani ila kinyume chake haiwezekani.

Miafrika ni mibahili na ina roho mbaya sana na michawi haipendani ndo maana imelaaniwa.

Ee Mungu endelea kiwabariki wazungu.
Zipo scholarship nyingi tuu za Afrika hata Tanzania tunatoa ila wewe na wenzako mna wenge na wazungu
 
Mbona hata africa zpo kibao tu..nishobo zetu za kwenda ulaya
 
Mi mara nyingi nawaombea wazungu waendelee kufaniakiwa kila wakati mana niwatoaji sana na wana utu. Ndo mana utawakuta watu au wanafinzi wako busy kuapply scholarships huko ulaya au marekani ila kinyume chake haiwezekani.

Miafrika ni mibahili na ina roho mbaya sana na michawi haipendani ndo maana imelaaniwa.

Ee Mungu endelea kiwabariki wazungu.

"Black people are good for nothing apart from indulging in sex and having so many wives."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
Back
Top Bottom