Mi mara nyingi nawaombea wazungu waendelee kufaniakiwa kila wakati mana niwatoaji sana na wana utu. Ndo mana utawakuta watu au wanafinzi wako busy kuapply scholarships huko ulaya au marekani ila kinyume chake haiwezekani.
Miafrika ni mibahili na ina roho mbaya sana na michawi haipendani ndo maana imelaaniwa.
Ee Mungu endelea kiwabariki wazungu. Mwafrica Roho mbaya sana. Waafrika tuna shida inayohitaji mabadiliko makubwa. Scholarship za bure zinaletwa, watu maafisa wakikosa watoto/ndugu/ hawara wa kuwapeleka wanazitupilia mbali zinapotea na tunakosa watalaam. Hata kama una akili zote, bila kujuana hupewi hiyo scholarship.
Mwafrica Roho mbaya hasa sisi weusi. Scholarship za bure zinaletwa, na maafisa wanaozipitisha wakikosa watoto, ndugu, marafiki au hawara wa kuwapeleka wanaona Bora kuzitupilia mbali maskini hata kama ana akili zote (genius) kiasi gani hapewi. Taifa linadumaa, limedumaa litadumaa.Mi mara nyingi nawaombea wazungu waendelee kufaniakiwa kila wakati mana niwatoaji sana na wana utu. Ndo mana utawakuta watu au wanafinzi wako busy kuapply scholarships huko ulaya au marekani ila kinyume chake haiwezekani.
Miafrika ni mibahili na ina roho mbaya sana na michawi haipendani ndo maana imelaaniwa.
Ee Mungu endelea kiwabariki wazungu.
Mi mara nyingi nawaombea wazungu waendelee kufaniakiwa kila wakati mana niwatoaji sana na wana utu. Ndo mana utawakuta watu au wanafinzi wako busy kuapply scholarships huko ulaya au marekani ila kinyume chake haiwezekani.
Miafrika ni mibahili na ina roho mbaya sana na michawi haipendani ndo maana imelaaniwa.
Ee Mungu endelea kiwabariki wazungu.
Sisi ni watu wenye roho mbaya sana, tunatamani tuwe navyo kuliko wengine, hatujui kutoa bali tumezoea kupewa tu.Mimi ni dereva bajaj hizi bolt kuna mda najiuliza wale wazungu waliowatesa sana babu zetu walitoka wapi asilimia kubwa wanajali mda wetu hawako rude unampeleka sehemu ya 2000 anakuachia 10000 yote watatufundisha na sisi kutoa ambako hakuhusiani na utajiri lkn kuna mbongo unampeleka kkoo ana duka la mtaji wa mabilioni humo kwenye bajaji ni simu za hela ndefu lkn mkifika kkoo chenji ya 500 mnatafuta nusu saa
Waafrika tuna roho ngumu sana unakuta mtu anauza mboga utaskia nipe fungu moja hela pitia kesho hapo ndo kashazurumu anatamba ana hela mtaani
Wazungu maadili tu ya mambo ya jinsia moja ndo yanazingua lkn most of them wana roho nzuri sana
Ohoo mkuu tatizo Ccm tu mkuu siku ikipata kiongozi bora utaona mamboMi mara nyingi nawaombea wazungu waendelee kufaniakiwa kila wakati mana niwatoaji sana na wana utu. Ndo mana utawakuta watu au wanafinzi wako busy kuapply scholarships huko ulaya au marekani ila kinyume chake haiwezekani.
Miafrika ni mibahili na ina roho mbaya sana na michawi haipendani ndo maana imelaaniwa.
Ee Mungu endelea kiwabariki wazungu.
Zipo scholarship nyingi tuu za Afrika hata Tanzania tunatoa ila wewe na wenzako mna wenge na wazunguMi mara nyingi nawaombea wazungu waendelee kufaniakiwa kila wakati mana niwatoaji sana na wana utu. Ndo mana utawakuta watu au wanafinzi wako busy kuapply scholarships huko ulaya au marekani ila kinyume chake haiwezekani.
Miafrika ni mibahili na ina roho mbaya sana na michawi haipendani ndo maana imelaaniwa.
Ee Mungu endelea kiwabariki wazungu.
Mi mara nyingi nawaombea wazungu waendelee kufaniakiwa kila wakati mana niwatoaji sana na wana utu. Ndo mana utawakuta watu au wanafinzi wako busy kuapply scholarships huko ulaya au marekani ila kinyume chake haiwezekani.
Miafrika ni mibahili na ina roho mbaya sana na michawi haipendani ndo maana imelaaniwa.
Ee Mungu endelea kiwabariki wazungu.
Mkuu naomba umtag huyo madam pls, just for good. Ni fursa adhimu kukutana na watu wema.Kuna watu wapo na roho nzuri na ni weusi.
Yupo madam mmoja JF hapa she is very humble .