Kwanini Wazungu wengi wakinywa Soda / Juice na Chakula huwa wanabakisha ila kwa Waafrka Chupa na Sahani huwa zinawakoma?

Kwanini Wazungu wengi wakinywa Soda / Juice na Chakula huwa wanabakisha ila kwa Waafrka Chupa na Sahani huwa zinawakoma?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kwanini Mzungu akinywa Soda au Juice na hata Chakula chochote utaona Kile Kinywaji hakimalizii chote atakibakisha kidogo na hata Chakula pia kuna ' mabaki mabaki ' yatabaki katika Sahani ila kwa Waafrika wengi Chupa ya Soda au ya Juice itahakikishiwa imemalizika kabisa na hata Sahani ya Chakula inakombelezewa kabisa?

Nitashukuru nikijibiwa kwa hili.

Nawasilisha.
 
Miafrika Ndivyo Tulivyo ref: signature ya mtu fudenge.

Tunaiga bila kuchukua angalizo / kujua siri / kuuliza iliyo nyuma ya wao kufanya hivyo.

Na tutabaki hivyo hivyo kama tulivyo.

K' Matata.
 
Kwanini Mzungu akinywa Soda au Juice na hata Chakula chochote utaona Kile Kinywaji hakimalizii chote atakibakisha kidogo na hata Chakula pia kuna ' mabaki mabaki ' yatabaki katika Sahani ila kwa Waafrika wengi Chupa ya Soda au ya Juice itahakikishiwa imemalizika kabisa na hata Sahani ya Chakula inakombelezewa kabisa?

Nitashukuru nikijibiwa kwa hili.

Nawasilisha.

Wanawaachia waliotangulia at least na wao wa enjoy kidogo
 
Wao wao sisi sisi. Over!! Wasifosi tufanane..black is black white is white.
 
Dah... kihisabati..ili kumaliza kimiminika chote lazima uinue glass au chupa kwa zaidi ya nyuzi 90°.... Sasa Waafrika wengi pua zao ni bapa hivyo huwa rahisi zaidi kuliko wazungu ambao pua zao zimechongoka .... kihisabati [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom