GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwanini Mzungu akinywa Soda au Juice na hata Chakula chochote utaona Kile Kinywaji hakimalizii chote atakibakisha kidogo na hata Chakula pia kuna ' mabaki mabaki ' yatabaki katika Sahani ila kwa Waafrika wengi Chupa ya Soda au ya Juice itahakikishiwa imemalizika kabisa na hata Sahani ya Chakula inakombelezewa kabisa?
Nitashukuru nikijibiwa kwa hili.
Nawasilisha.
Nitashukuru nikijibiwa kwa hili.
Nawasilisha.