GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
haya tuma salamu kwa watu wawili tafadhali na uwatakie heri ya KRISMAS NA MWAKA MPYANawahi siti ya mbele
Wazungu wanakula kutosheka sisi tunakula kumaliza.
Dada wa Mbagala umnunulie Mirinda nyeusi aache! [emoji15] [emoji15]Mkuu ' Shikamoo ' sana!
Siwezi kupakua chakula kinachonizidi uwezo
Labda niwe naumwa ndo nitabakisha chakula
Kwanini Mzungu akinywa Soda au Juice na hata Chakula chochote utaona Kile Kinywaji hakimalizii chote atakibakisha kidogo na hata Chakula pia kuna ' mabaki mabaki ' yatabaki katika Sahani ila kwa Waafrika wengi Chupa ya Soda au ya Juice itahakikishiwa imemalizika kabisa na hata Sahani ya Chakula inakombelezewa kabisa?
Nitashukuru nikijibiwa kwa hili.
Nawasilisha.
Ila ndio wako vyema sana kimaisha, tunakomba sahani but shida tupuDhambi kubakisha chakula .dhambi ya dharau