Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #41
Mbona walitoa sana wakati wa awamu ya kwanza ya Mwalimu Nyerere?Kama wanaweza watoe hizo huduma, nasi tufaidike.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona walitoa sana wakati wa awamu ya kwanza ya Mwalimu Nyerere?Kama wanaweza watoe hizo huduma, nasi tufaidike.
sawa kama hujuiHahaha hawashindwi?! Sijui lakini.
Zimeenda wapi sasa, mbona hatuzioni leo?!Mbona walitoa sana wakati wa awamu ya kwanza ya Mwalimu Nyerere?
Bado sijazionaSabato njema mtu wa bwana. Sisi huku mtaa wa kwetu makambi ndio yanafungwa leo. Lesson za robo mpya zimetoka?
kijana mambo vp? sasa vp ile issue yetu?Bado sijaziona
PoaBado sijaziona
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dah.... Ila watoto wa kitanzania raha sana. Nakumbuka one time nitoka porini huko narudi mjini. Network ilikuwa hakuna kabisa huko nilikokuwapo. Sasa ile nipo maeneo ya kibaha pale nikawasha data.... Notification za jf na apps nyingine zikaanza tiriririka.Hawachelewi kuja kusema wapo kwenye mchakato wakati hata hili wazo hawakuwa nalo vichwani.
Issue gani?! Nadhani umenichanyanya na ID nyingine.kijana mambo vp? sasa vp ile issue yetu?
oooh I am sorry brotherIssue gani?! Nadhani umenichanyanya na ID nyingine.
Ninawaona wazee wa madili ya mjiniIssue gani?! Nadhani umenichanyanya na ID nyingine.
We love you too[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dah.... Ila watoto wa kitanzania raha sana. Nakumbuka one time nitoka porini huko narudi mjini. Network ilikuwa hakuna kabisa huko nilikokuwapo. Sasa ile nipo maeneo ya kibaha pale nikawasha data.... Notification za jf na apps nyingine zikaanza tiriririka.
Dah basi kabla sijafungua app yoyote ile nikaanza na JF kwanza..... Aisee nikisomaga comments na madongo wanayopeana madogo humu ndani kwenye mada mbali mbali i feel at home kabisa. Ni kama kuwa home kwa bi mkubwa halafu kutazama madogo wakizinguana na kupigana madongo aiseeee JF is really a home in a home.....
Love you guys all of you... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Eti ndugu zangu watanzania;
Kwanini website ya tume/sekretarieti ya ajira Tanzania(TPSRS) haipo kwenye freebasics.com ili kuwasaidia graduates wengi wasio na vipato?
Click here>>> Free Basics
Nimeamua kuuliza hivi kwa maana kwamba kuna kijana mmoja ni jirani yangu (jina simtaji) hapa Mbagala ninapokaa alihitimu chuo kikuu UDSM mwaka jana wa 2019 na hana kipato cha kumuwezesha kwenda internet cafe au hata kuweka bando la data la mara kwa mara ili kuweza kuangalia fursa za ajira mitandaoni.
Graduate akipata clue kupitia freebasics, sasa ndio analipa pesa kidogo anaenda internet cafe akiwa na uhakika kuwa kuna nafasi za kazi zimetangazwa, kuliko kwenda cafe kulipa pesa nyingi kisha akakuta hakuna fursa yoyote.
Kama JamiiForums inawajali watu wa vipato vya hali ya chini na kuamua kuwepo freebasics.com, kwanini tume ya ajira inashindwa kuwajali graduates "fresh from school" ambao ni watoto wa wanyonge/wakulima?
Kwani hii freebasics.com ni nini haswa?
==========
Free Basics provides people with access to useful services on their mobile phones in markets where internet access may be less affordable.
The websites are available for free without data charges, and include content on things like news, employment, health, education and local information.
By introducing people to the benefits of the internet through these websites, we hope to bring more people online and help improve their lives.
==========
OUR MOTTO: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
BIASHARA: Ninauza Vitabu Vya Kujifunzia Lugha Ya Kijerumani. Ich komme aus der Stadt Dar Es Salaam und verkaufe diese Deutsch-Lernbücher
Ni lazima wawepo kila sehemu yenye manufaa kwa umma wa watanzania na taifa kwa ujumla wake.Ndugu kama watoa ushauri waingie huko basi uwe ushauri, lakini kuuliza kwanini haipo si sawa. Hawatokuwapo kila sehemu tunayotaka.
Ni lazima wawepo kila sehemu yenye manufaa kwa umma wa watanzania na taifa kwa ujumla wake.
Mkuu, na hicho ndicho nilichofikanya. Nimewakumbusha inatosha.Mkuu ndio toa ushauri sasa.
Usimjaze sana sifa huyu dogoWazo zuri
Kwanini mkuu?Usimjaze sana sifa huyu dogo
Anajifanyaga anajua zaidi kuizidi serikali yakeKwanini mkuu?