Kwanini website ya Tume/Sekretarieti ya ajira Tanzania (TPSRS) haipo kwenye freebasics.com ili kuwasaidia graduates wenye vipato vidogo?

Hawachelewi kuja kusema wapo kwenye mchakato wakati hata hili wazo hawakuwa nalo vichwani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dah.... Ila watoto wa kitanzania raha sana. Nakumbuka one time nitoka porini huko narudi mjini. Network ilikuwa hakuna kabisa huko nilikokuwapo. Sasa ile nipo maeneo ya kibaha pale nikawasha data.... Notification za jf na apps nyingine zikaanza tiriririka.

Dah basi kabla sijafungua app yoyote ile nikaanza na JF kwanza..... Aisee nikisomaga comments na madongo wanayopeana madogo humu ndani kwenye mada mbali mbali i feel at home kabisa. Ni kama kuwa home kwa bi mkubwa halafu kutazama madogo wakizinguana na kupigana madongo aiseeee JF is really a home in a home.....

Love you guys all of you... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
We love you too
 
Ndugu kama watoa ushauri waingie huko basi uwe ushauri, lakini kuuliza kwanini haipo si sawa. Hawatokuwapo kila sehemu tunayotaka.
 
Ndugu kama watoa ushauri waingie huko basi uwe ushauri, lakini kuuliza kwanini haipo si sawa. Hawatokuwapo kila sehemu tunayotaka.
Ni lazima wawepo kila sehemu yenye manufaa kwa umma wa watanzania na taifa kwa ujumla wake.
 
Pfsnubdkbhxxzc

K n
B
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…