Kwanini Website ya wizara ya elimu Haipo hewani?

SOCIETY'S FOCUS

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
498
Reaction score
685
Wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi siku ya leo haipo hewani, ni kweli kwamba inapakia post za ualimu au maneno tu! mwenye ukweli atujuze
 
Kweli, tangu jana jioni hadi sasa bado haipo hewani labda wana upload post za ualimu!
www.moe.go.tz
 
mmmh!! safari hii watapakia na makuli kama magunia ya alizeti
 
toka jana mchana, kwa habari za uhakika kutoka ndan ni kwamba wanauload selection za ualim, kati ya leo au kesho mambo yatakuwa tayari
 
Naomba kuuliza wadau wa jf,kwani nimeshtushwa na ujumbe ninaoupata kutoka kwenye website ya moe.go.tz,tafadhali jaribu na wewe kutembelea ujionee,thanks!
 
Habari ingekamilika kama ungesema ilioupata,,!!!!
 
Naomba kuuliza wadau wa jf,kwani nimeshtushwa na ujumbe ninaoupata kutoka kwenye website ya moe.go.tz,tafadhali jaribu na wewe kutembelea ujionee,thanks!
Jiangalie na kujitathimini kwanza mkuu unaleta vituko vyako tu hapa jukwaani.
 
Nashauri uifute hii mada uandike tena. Utakuwa wise mkuu. Bado mapema mbona,unawahi wapi?
 
jamani ndugu zangu wa JF kutofunguka kwa website ya wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi kunamaanisha nn? maana ndo tunasubir post za mafunzo ya ualimu ngaz ya stashahada alafu website wanaifunga jmn wizara inamaanisha nn???????
 

This account has been suspended.
Either the domain has been overused, or the [COLOR=#0000FF !important]reseller[/COLOR]ran out
of resources.
Hyo maelezo yanajieleza

 

This account has been suspended.
Either the domain has been overused, or the [COLOR=#0000FF !important]reseller[/COLOR]ran out
of resources.
Hyo maelezo yanajieleza


english kwangu tabu wanamaanisha nn???????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…