SOCIETY'S FOCUS
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 498
- 685
Wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi siku ya leo haipo hewani, ni kweli kwamba inapakia post za ualimu au maneno tu! mwenye ukweli atujuze
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiangalie na kujitathimini kwanza mkuu unaleta vituko vyako tu hapa jukwaani.Naomba kuuliza wadau wa jf,kwani nimeshtushwa na ujumbe ninaoupata kutoka kwenye website ya moe.go.tz,tafadhali jaribu na wewe kutembelea ujionee,thanks!
Habari ingekamilika kama ungesema ilioupata,,!!!!
Jiangalie na kujitathimini kwanza mkuu unaleta vituko vyako tu hapa jukwaani.
jmn ndg zng wa jf kutofunguka kwa website ya wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi kunamaanisha nn ????????? maana ndo tunasubir post za mafunzo ya ualimu ngaz ya stashahada alafu website wanaifunga jmn wizara inamaanisha nn???????
This account has been suspended.
Either the domain has been overused, or the [COLOR=#0000FF !important]reseller[/COLOR]ran out of resources.
Hyo maelezo yanajieleza