steveson manumbu
JF-Expert Member
- Apr 1, 2014
- 887
- 178
Mbioni wizara nayo kufunga ofisi zao
hili si swali la kuuliza mkuu maana hata tovuti ya tume ya katiba ilipofungwa hakuna sababu za msingi zilizotolewaje inadaiwa kiasi gani mpk kushindwa kulipia?
hii ni ajabu sana tovuti ya wizara ya elimu kufungwa kisa gharama ya kuiendesha je hii ni kweli wizara hiyo kukosa fedha ya kuendesha tovuti hiyo?
wizara haina lolote mkuu wa kitengo cha IT pale ana masters ya linguistic na baed anaitwa ponela hajawahi soma IT hata siku moja siyo mshauri mzur alikua mwl wangu shule flan
Ndiyo nini sasa we mleta mada mzima kweli.
This account has been suspended.
Either the domain has been overused, or the [COLOR=#0000FF !important]reseller[/COLOR]ran out of resources.
Hyo maelezo yanajieleza
This account has been suspended.
Either the domain has been overused, or the reseller ran out of resources.
or has not sorted out BILLING ISSUES
au Hawajalipa DENI
Hayo ndo maneno yanayosomeka pindi ukitaka kupata taarifa kutoka katika tovuti ya wizara ya elimu.
Inawezekana kabisa ni ukata kwa wizara au nchi yetu maana hadi hii leo hawajatoa majina ya watu wanaotakiwa kujiunga na course za ualimu katika vyuo vya ualimu nchini.
Vyuo vya ualimu vilifungiwa mitambo mikubwa sana ya internet na ya gharama kubwa lakini hii leo wameshindwa kuwalipia huduma hiyo na vyumba vya ICT vimefungwa vyuo vyote. ICT katika vyuo vya ualimu ilianzishwa kwa mbwembwe kibao lakini vyumba hivyo vanakaribia kufanywa karakana. ISP wanawadai hela kibao.
jamani tuangalie nchi inakoelekea.