Kwanini Website ya wizara ya elimu Haipo hewani?

Kwanini Website ya wizara ya elimu Haipo hewani?

hii ni ajabu sana tovuti ya wizara ya elimu kufungwa kisa gharama ya kuiendesha je hii ni kweli wizara hiyo kukosa fedha ya kuendesha tovuti hiyo?
 
Hii ni noma sana.only in Tanzania.sasa sijui itafunguliwa nin
 
Jamani huu ni UOZO wa hili li serikali la kijuha.
Na bado hii DHAMBI haitaawaacha hawa majangiri..!!!
 
Wizara ye elimu na mafunzo ya ufundi kwa sasa haina jukumu lolote, kazi zake zimehamishiwa tamisemi na utumishi, wafanyakazi wake wanaweza kuhesabiwa kama wafanyakazi hewa kwa sasa!
 
hii ni ajabu sana tovuti ya wizara ya elimu kufungwa kisa gharama ya kuiendesha je hii ni kweli wizara hiyo kukosa fedha ya kuendesha tovuti hiyo?


Hivi wizara hii si ndiyo ile iliyo chini ya yule mzee wa Muungano wa Tanganyika na Zimbabwe ndiyo uliozaa jina la Tanzania? Basi mpaka hapo nimelowa, kwani nothing is good chini ya huyu kijana wa muungano.
 
HILO NDO TATIZO LA KUCHANGANYA KAZI NA URAFIKI... Kama alivyofanya mheshimiwa nanihii yaan kila wizara nyeti kampa rafiki yake...
 
wizara haina lolote mkuu wa kitengo cha IT pale ana masters ya linguistic na baed anaitwa ponela hajawahi soma IT hata siku moja siyo mshauri mzur alikua mwl wangu shule flan
 
Tatizo hawana pesa jamani ndo maana wameshindwa hata kutoa post za walimu kwa kozi mpya walizoanzisha.
 
Ni wiki moja sasa website ya wizara ya elimu imefungwa . Serikali imeshindwa kulipia gharama za host. Serikali yangu tukufu ya CCM ambayo ni sikivu kuna nini? Ni mdororo wa kiuchumi au nini?
 

This account has been suspended.
Either the domain has been overused, or the [COLOR=#0000FF !important]reseller[/COLOR]ran out
of resources.
Hyo maelezo yanajieleza


Asante mkuu. Umeweka kitu ambacho mimi nilisahau.
 
This account has been suspended.

Either the domain has been overused, or the reseller ran out of resources.

or has not sorted out BILLING ISSUES


au Hawajalipa DENI


Hayo ndo maneno yanayosomeka pindi ukitaka kupata taarifa kutoka katika tovuti ya wizara ya elimu.

Inawezekana kabisa ni ukata kwa wizara au nchi yetu maana hadi hii leo hawajatoa majina ya watu wanaotakiwa kujiunga na course za ualimu katika vyuo vya ualimu nchini.

Vyuo vya ualimu vilifungiwa mitambo mikubwa sana ya internet na ya gharama kubwa lakini hii leo wameshindwa kuwalipia huduma hiyo na vyumba vya ICT vimefungwa vyuo vyote. ICT katika vyuo vya ualimu ilianzishwa kwa mbwembwe kibao lakini vyumba hivyo vanakaribia kufanywa karakana. ISP wanawadai hela kibao.

jamani tuangalie nchi inakoelekea.


Nchi yetu nzuri sana uchumi wake unapaa. Kwa ujumla mambo yetu yapo powa. Wanaolalamika eti mambo hayaendi vizuri ni wasiolitakia mema taifa letu; ni wapinzani
 
Waandishi wa habari mtusaidie kufuatilia pale wizarani kupata ukweli
 
wactake ku2ambia wamexhndwa klpa bill wkt kuiba kod ze2 n mahodar,kwanz ktendo cha k2acha mtaan wkt 2mefaulu n ukatli
 
Back
Top Bottom