Bukondamoyo
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 458
- 490
Moja ya vitu vinavyokera ktk ligi hii ni ratiba mbovuBado najiuliza sana kama TFF na taifa tuna ndoto za kuzipeleka timu zetu kimataifa. Ilitakiwa weekend hii match ziendelee ili kuweka good fitness kwa wachezaji wetu hasa wa timu zetu zinazowakilisha kimataifa kwa maana ya Young Africans, Simba na Singida FG, lakini badala yake mechi zinasogezwa mpaka Oktoba.
TFF inatakiwa waelewe Simba ana match nyingi za kimataifa ili kuepuka viporo visivyo vya lazima ilitakiwa weekend hii match ziendelee.
Pia kwa sisi wazee wa mbungi kukaa muda mrefu bila kuangalia ligi yetu bora namba 5 inaboa sana.
N A W A S I L I S H A.
Wale wajinga TFF wana akili ndogo sana. Hata kuelekea international break hawakuweka michezo yoyote ile weekend ya mwisho. Kiufundi timu za ndani unaathiri fitness ya vilabu hasa hasa ambavyo vinashindana kimataifa. Kukaa muda mrefu bila kucheza sio faida.
Ligi kuu ya Afrika Kusini ilianza muda mmoja na sisi ila tayari wamecheza mechi 7. Timu kama Mamelodi Sundowns tayari wamecheza mechi 11. Pia hao hao Mamelodi baada ya ile mechi yao ya kimataifa wiki iliyopita watacheza mechi 3 kabla ya marudiano wiki ijayo.
Ratiba mbovu inashangaza, baadae timu zitaanza kupangwa kucheza kila baada ya siku mbili, wakati tunachezea muda. Hao Yanga wamecheza Jumatano wangeweza kucheza mechi nyingine Jumapili au Jumatatu, halikadhalika kwa Simba maana ndio walikuwa na viporo.Bado najiuliza sana kama TFF na taifa tuna ndoto za kuzipeleka timu zetu kimataifa. Ilitakiwa weekend hii match ziendelee ili kuweka good fitness kwa wachezaji wetu hasa wa timu zetu zinazowakilisha kimataifa kwa maana ya Young Africans, Simba na Singida FG, lakini badala yake mechi zinasogezwa mpaka Oktoba.
TFF inatakiwa waelewe Simba ana match nyingi za kimataifa ili kuepuka viporo visivyo vya lazima ilitakiwa weekend hii match ziendelee.
Pia kwa sisi wazee wa mbungi kukaa muda mrefu bila kuangalia ligi yetu bora namba 5 inaboa sana.
N A W A S I L I S H A.
Karia anachekelea tuRatiba mbovu inashangaza, baadae timu zitaanza kupangwa kucheza kila baada ya siku mbili, wakati tunachezea muda. Hao Yanga wamecheza Jumatano wangeweza kucheza mechi nyingine Jumapili au Jumatatu, halikadhalika kwa Simba maana ndio walikuwa na viporo.
SureUkiwa serious na Mambo yote ya hii NCHI utajiumizs Bure mkuu.
Miaka sitini hakuna Hata SEKTA Moja Wala Wizara ya kujivunia.
T U P O H O V Y O S A N A
Na mtambi wake kama gunia la mahindiKaria anachekelea tu
Hata mimi nimeshangaa sana,Simba na Yanga zote kwenye ratiba inaonyesha mechi zao zinazofuata wanaenda Mbeya kucheza na Prison,na yanga nae kucheza na Ihefu,ilitakiwa juzi Yanga baada ya mechi yake Ijumaa asafiri aende mbeya kucheza,na simba nae baada ya mechi yake ya jana Alhamisi leo Ijumaa asafiri kesho jumamosi apumzike ili jumapili ama jumatatu inampasa acheze,Jumanne anarudi zake Dar ili kujiandaa na mchezo wake dhidi ya Power Dynamo..........Hapa Tff na bodi ya ligi zimechemka sanaBado najiuliza sana kama TFF na taifa tuna ndoto za kuzipeleka timu zetu kimataifa. Ilitakiwa weekend hii match ziendelee ili kuweka good fitness kwa wachezaji wetu hasa wa timu zetu zinazowakilisha kimataifa kwa maana ya Young Africans, Simba na Singida FG, lakini badala yake mechi zinasogezwa mpaka Oktoba.
TFF inatakiwa waelewe Simba ana match nyingi za kimataifa ili kuepuka viporo visivyo vya lazima ilitakiwa weekend hii match ziendelee.
Pia kwa sisi wazee wa mbungi kukaa muda mrefu bila kuangalia ligi yetu bora namba 5 inaboa sana.
N A W A S I L I S H A.
Ligi ya South Africa ina timu ngapiWale wajinga TFF wana akili ndogo sana. Hata kuelekea international break hawakuweka michezo yoyote ile weekend ya mwisho. Kiufundi timu za ndani unaathiri fitness ya vilabu hasa hasa ambavyo vinashindana kimataifa. Kukaa muda mrefu bila kucheza sio faida.
Ligi kuu ya Afrika Kusini ilianza muda mmoja na sisi ila tayari wamecheza mechi 7. Timu kama Mamelodi Sundowns tayari wamecheza mechi 11. Pia hao hao Mamelodi baada ya ile mechi yao ya kimataifa wiki iliyopita watacheza mechi 3 kabla ya marudiano wiki ijayo.
Ina timu 16 kama Tanzania Premier League.Hivyo hakuna kisingizio.Ni kutowajibika na upendeleo tu kwa sababu ya hongo na mapenzi ya timu yao.Ligi ya South Africa ina timu ngapi
Ulitaka kusemajeLigi ya South Africa ina timu ngapi