Kwanini weekend hii mechi za Ligi Kuu hazifanyiki, shida nini?

Inashangaza sana, akili ya Karai hiyo.
 
Halafu eti ligi ni ya tano Afrika. AIBU sana hiii.
 
Reactions: Tui
Sisi Yanga sc tutoe kwenye ujinga huo. Sisi tuko tayari kucheza muda wowote. Hii ni figisu ya dunduka's
Nyinyi ndio mnafaidika kupita timu zote kwa ratiba kwa misimu 3 sasa.Ndio maana mmecheza gemu 3 mfululizo nyumbani Hakuna ratiba ya namna hiyo duniani.Unabisha ilete.
 
Sisi Yanga sc tutoe kwenye ujinga huo. Sisi tuko tayari kucheza muda wowote. Hii ni figisu ya dunduka's
Yanga tuko na vikosi vitatu hata wakitaka tucheze kila siku tunaweza na bado kikosi cha kwanza kikatimiza saa 72 baada ya kucheza mechi.
 
Nyinyi ndio mnafaidika kupita timu zote kwa ratiba kwa misimu 3 sasa.Ndio maana mmecheza gemu 3 mfululizo nyumbani Hakuna ratiba ya namna hiyo duniani.Unabisha ilete.
Ukishusha mlima kwasasa, tegemea kupandisha mlima wakati wa kurudi.
 
Ukishusha mlima kwasasa, tegemea kupandisha mlima wakati wa kurudi.
Hamna lolote wacha kuleta justification zisizo na mantiki.Ratiba imepangwa kishabiki.Kwanini timu ianze mechi 3 nyumbani?
 
Hamia ligi kuu Ulaya, mechi zipo mpaka muda huu!
 
Tutaongea hadi tuchoke inakuaje Ligi ya Tano Afrika ,,haraf hakuna refa atammoja alieitwa na CAF katika Tournament za Caf...??
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…