ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Kaangalie ratiba ya msimu ulio pita mechi tatu za mwanzo za timu yako pendwa na mechi tatu za mwanzo za YangaNyinyi ndio mnafaidika kupita timu zote kwa ratiba kwa misimu 3 sasa.Ndio maana mmecheza gemu 3 mfululizo nyumbani Hakuna ratiba ya namna hiyo duniani.Unabisha ilete.
Bila yanga na Simba weekend haiendiHamia ligi kuu Ulaya, mechi zipo mpaka muda huu!
Kwa hiyo kosa likirudiwa ndio linakuwa sio kosa?Hata Azam wamependelewa kwa kuanzia nyumbani mechi 3 mfululizo msimu huu.Kaangalie ratiba ya msimu ulio pita mechi tatu za mwanzo za timu yako pendwa na mechi tatu za mwanzo za Yanga
Ume geuza gia angani mwanzo ulisema Yanga ana pendelewa nmekupa fact ya timu yako akili zikarudiKwa hiyo kosa likirudiwa ndio linakuwa sio kosa?Hata Azam wamependelewa kwa kuanzia nyumbani mechi 3 mfululizo msimu huu.
Wapanga ratiba wanapanga ratiba kwa upendeleo na timu zingine kukosa haki za kushindana kwa vigezo sawa.
Ona hii kenge, utaaje kileleni kama haushindi?Simba waliomba mechi yao isogezwe wacheze lakini utopolo na wajinga wenzao kelele nyiiingi eti wanaomba kucheza ili wakae kileleni kwenye msimamo.Na hao bodi ya ligi kwa ujinga ule ule wakachukua hiyo kama sababu!
16Ligi ya South Africa ina timu ngapi
Kwani inaondoa ukweli kwamba Yanga hajapendelewa?Ni kujisifu kwamba sijaiba kwa sababu fulani pia ameiba.Haikufanyi usiwe umeiba..Hata msimu uliopita ratiba niliikosoa kwamba Simba kapendelewa.Mimi sio shabiki maandazi kama wewe kutosema ukweli kwa sababu timu ninayoishabikia itakuwa imepata favour.Wewe huwezi kukiri kwa sababu unazi umekukolea kuliko ukweli.Ume geuza gia angani mwanzo ulisema Yanga ana pendelewa nmekupa fact ya timu yako akili zikarudi
Baada ya Simba kupendelewa alimaliza msimu na nini? kama haijui mpira unakandwa tu popote Raja Casablanca ni mfano tosha kua mpira ni popote bila shaka una kumbumbu mujarabuKwani inaondoa ukweli kwamba Yanga hajapendelewa?Ni kujisifu kwamba sijaiba kwa sababu fulani pia ameiba.Haikufanyi usiwe umeiba..Hata msimu uliopita ratiba niliikosoa kwamba Simba kapendelewa.Mimi sio shabiki maandazi kama wewe kutosema ukweli kwa sababu timu ninayoishabikia itakuwa imepata favour.Wewe huwezi kukiri kwa sababu unazi umekukolea kuliko ukweli.
Yeye ndo chanzo cha haya yoteMWALIMU NYERERE ANAMALIZA KWA USHAIRI KWENYE KITABU CHAKE.
UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.
Ole wake Tanzania Tusipoisaidia
Niwezalo nimelifanya kushauri na kuonya nimeonya.
tahadhali nimetoa ushauri na kuonya nimeshatoka kitini zaidi nifanye nini.
Namlilia Jaalia atumulikie njia Tanzania ailinde WAOVU wasiishinde.
Amina Tena Amina Amina Tena amina
UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.
MWALIMU JK NYERERE
Hasa bila Yanga kucheza wikendi inakuwa kero sana!Bado najiuliza sana kama TFF na taifa tuna ndoto za kuzipeleka timu zetu kimataifa. Ilitakiwa weekend hii match ziendelee ili kuweka good fitness kwa wachezaji wetu hasa wa timu zetu zinazowakilisha kimataifa kwa maana ya Young Africans, Simba na Singida FG, lakini badala yake mechi zinasogezwa mpaka Oktoba.
TFF inatakiwa waelewe Simba ana match nyingi za kimataifa ili kuepuka viporo visivyo vya lazima ilitakiwa weekend hii match ziendelee.
Pia kwa sisi wazee wa mbungi kukaa muda mrefu bila kuangalia ligi yetu bora namba 5 inaboa sana.
N A W A S I L I S H A.